Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

Umetema jiwe juu ya jiwe. Wasipokuelewa basi wana roho mbaya tu
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Ulikuwa wapi kuandika hizi nondo!?
Nimeshayakanyaga
 
Suala la kuoa sio la kupangiana, wewe oa la saba, kuna mwenzako yeye anataka form four, mwingine anataka ambae hajafika hata chekechea, kuna wengine wanataka masters, kwa hiyo hebu waache wana wachague wanachotaka
 
Nasikitika bado kijana mdogo na hauna exposure yaani hauja experience vitu ,endelea kujifunza .


Naongea uhalisia sio ngonjera ,wazuri walishaachwa na wala sio hao wa kweny media wengi ni maarufu ila wazuri.....Uzuri wa mwanamke ukishamvua mvua mara kwa mara ndani ya mwaka unaisha .

Familia na ndoa ni zaidi ya uzuri ndio maana mtu yeyote anaweza kuoa na kuolewa hata akiwa mlemavu na kasoro za kimaumbile ..

Elewa hili upendo inategemea mtu kampendea nn mwenza wake labda sura ,kipato ,uwezo ,brand yake ,shape etc.

Hakuna mwanamke mzuri wa shape tu kama unabisha kuna wanaojiuza ni pisi mbaya ila watu wanatumia na kuacha wanaenda kuoa wanawake wengine ,ni kwamba kwa tabia zao mtu hawezi kuoa happ ishu ya shape ishakuwa haina mpango tena.

Kama bado uko migombani basi fanya uje town uende pale Mliman city ingia tu kuzuga kuna wasichana wa kila aina ,wengine wanajiuza kwa siri snaa tena matawi ya juu ila wanatumiwa tu na wahuni ,mshamba unaweza kujiingiza kuoa baada ukaja kupiga kelele hapa.
 
Mkuu umefanya nitafakar hapo kwenye
2.Mshahara mkubwa wa mke

Nimejiuliza inamaana kuna wanaume hawana noma wakezao wakiwa wanapambana kutoka 12 asubuhi mpaka 12 jioni ?

Pia nikawaza inamaana kuna wanaume hawana noma kuruhusu wake zao kusafir kikazi wiki hata mwezi?

Pia nikajiuliza pia inamaana kuna wanaume wanapenda wanawake wapambanaji watafutaji ilihali yeye yupo
1.alilipa mahali yote bila kukopa
2.amejenga nyumba
3.anasomesha watoto
4.miradi na biashara anayopia.

Aisee kweli wanaume tofautiana.

Mimi nadhan mwanamke kazi na mission yake hapa duniani ilikuwa ni kuwa mama wa nyumbni
Nakuwa back up singer wa mumewe.
 
Dunia ya sasa mwanaume uwe umesoma au hukusoma mke bora akufaaye na mwenye afadhali ni form six shuka chini mpaka ambao hawana shule kichwani.

Huu ni ukweli ambao wavivu na waogopa maisha huwa hawataki kuusikia lakini tangu mwanzo issue ya ndoa haikuwekwa kwamba mkasaidiane maisha iliwekwa mke akazae alee watoto nyumbani baba atoke akatafute kula yao lakini leo wajinga wanataka mke akatafute hela ya kusomesha watoto wao wakatafute hela ya kula na kujenga which is haiwezekani haya kufanyika kwa pamoja.
 
🤣🤣🤣Uongelea vitu havipo kabisa kwa sababu ushazoea kutunga vitu ambavyo havina faida ka shigongo ..

Huwaga sisomi story za kutunga kwa watu weny akili ndogo ,hapa nakupa uhalisia🤣🤣.
Nakuelezea uhalisia sio nadharia kijana eti mvuto wa kusex ? Nakupa ule ukweli baada ya mwaka mapenzi na hiyo bodi unaona kawaida hata umtunze vip na mimi ni jukumu langu kumtunza ,kumpa mkazi ,kumpa ulinzi ,kumlipa akionyeyesha mwanangu , kumsaidia kazi , kumvisha ,kumlisha na mengine hayo ndio majukumu yangu kama mwanaume.


Wewe unaongelea faida ambazo zinaweza kuvunjika kwa kitu kimoja tu "kiburi" akileta nyodo hayo yote yanapotea hayana maana ndio maana tabia ni zaidi ya yote ...Mara mtu kachokwa na gunia la mkaa kwamba jamaa hajui uzuri wa huyo demu au shape yake?

Hayo yote yanakufa mbele ya tabia kama itakuwa hovyo ...

Point ni tabia hizo zote ni takataka hazina maana watu walioa mamiss na wakatemana sembuse hao weny vitabu 🤣🤣.
 
Ndio maana jamaaa kauliza hivyo vitu vina mvuto gani kweny ndoa ukikuta kuna mambo ya hovyo kama kiburi ,jeuri unajuta kabisa.

Hizo ni sifa za nje yaaniphysical appearance zinaweza kukuvutia ila hazina mchango katika ndoa kama tabia na asili ya mtu.
 
Ina ukweli Ila watakuja kupinga. Mke mwenye kipato chake kuchangia kwa familia Hakuna hasahasa hata kitunguu Cha Mia hatoi,wao Ni wabinafsi and they're Best traders ever they know how to transact low value with high value
 
Niki WA pili kamzidi nini Mbishi??
Majina yao yamefanana tu, alafu Kuna kipindi mbishi kamchana niki wa pili, ye msemaji Kama Nani? Ye msemaji wa kundi lake, mawazo yangu Mimi hayajui haache kujiita msemaji wa wasanii wote/ mke wake ni msomi mshepu mzuri.... Mengine Siri ya kambi....
 
Majina yao yamefanana tu, alafu Kuna kipindi mbishi kamchana niki wa pili, ye msemaji Kama Nani? Ye msemaji wa kundi lake, mawazo yangu Mimi hayajui haache kujiita msemaji wa wasanii wote/ mke wake ni msomi mshepu mzuri.... Mengine Siri ya kambi....
Hapo nimekupata, nilijua unaongelea usomi wake. Niki WA pili msomi wa content nyepesi alafu anajitapa eti msanii msomi
 
Wandewa wanasemaga mtu isipomfaa akili yake,basi utamdhuru ujinga wake. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…