Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Kweli Sana. Wife ameajiriwa lakini Mshahara unaotoboka ni wangu. Mke aliyeajiriwa labda faida yake itaonekana nikiwa marehemu lakini kwasasa chake NI chake na changu ndiyo cha wote.Umetema jiwe juu ya jiwe. Wasipokuelewa basi wana roho mbaya tu
Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.
Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.
Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida
1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.
Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.
Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.
Nimemaliza!
π π. Haya mabeijiing ni shida.wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.
Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
NAKAZIAUna hoja usikilizwe
Namba 4 ,mtibeli ee ,sijaelewa mkewangu mzuri anafanyaje ili nikopesheke au unamanisha kuchapiwa1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.
3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.
4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.
5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.
6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.
7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.
Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakubaliana na wewe kabisa kabisa,,
na usiombe kawe kembamba kamesoma kanaendesha ki "baby worker" keupe halafu kanavaa miwani,, utakubali show ya maisha,,
msinibishie anayesifia mvua jua imemnyeshea,,
mwanamke mzuru ni yeyote yule uliyempenda hata akiwa na madhaifu gani kiuumbaji. ila kwangu, hasa kwa huyu niliyenaye, pamoja na kwamba amezaa watoto kadhaa, lakini chura yake ni ya kawaida, hana tumbo, na pia ni camel foot.Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.
Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.
Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida
1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.
Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.
Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.
Nimemaliza!
Hilo nalo mkalitizameMoja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo.
Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa zao.
Wengi wameishia kupata msongo wa mawazo tu baada ya kugundua kuwa vyote hivi ni ubatili mtupu ktk ndoa. Wametumia nguvu na gharama kubwa kuvipata lkn having faida
1. Tako kubwa, shape, sura na rangi nzuri havileti ugali mezani.
2. Mshahara mkubwa wa mwanamke kutoka kwenye kazi yake nzuri hauonekani unapoenda. Hachangii chochote. Zaidi sana ataanza kuanzisha ujenzi ama biashara zake kwa siri.
Oa darasa la saba ambaye atatawalika, atakuwa msikivu, unaweza kumtuma, atalea watoto wako muda wote na utamtumia kukuza kipato. Haya mabeijiing, masuperwoman, manaharakati, mazungumza kiingereza ni mabishi, majuaji huwa hayazai, na yakizaa ni mtoto mmoja tu. Kwasabb yashatoa mimba sana hadi kufikia huko vyuoni.
Halafu wana wapenzi wengi mno, waliosoma nao ktk ngazi zote za elimu. Kuchapiwa ni nje nje. Hakuna mwanamke mbeijing asiyechapwa.
Nimemaliza!
π«‘π«‘π«‘π«‘1. Chura, Sura vinaleta hamasa katika ngono.
2. Vinafurahisha kila mara ukimtazama Mkeo, hachoshi. Wewe kazi yako ni kumtunza tuu.
2. Akivaa nguo anapendeza na hiyo inakupa ufahari popote uendako na ukiwa naye. Iwe ni Kanisani, au matukio ya jumuiya Mkeo akiwa na Sura na shape nzuri Sifa zinakuja kwako kuwa pale mwamba umeweza.
3. Ukizaa Watoto hasa wakike unazaa Watoto walionyooka hasa wakifuata maumbile ya Mama Yao. Shape na Sura nzuri ni Mbegu nzuri Kwa kizazi chako hasa mabinti.
Faida itakuja pale Watoto wako hawatapata shida ndogondogo za kutafuta wachumba na watapata upendeleo Kwa baadhi ya mambo Kutokana na uzuri waliorithi Kwa mama Yao.
4. Ni sifa na ufahari kuwa na MKE mzuri.
Hata Ibrahim alipata hifadhi Kwa urahisi nchi za mbali Kwa Sababu ya uzuri WA Mkewe.
Ni rahisi ukiwa na MKE mzuri Kupata mkopo kupitia uzuri wake.
Mwanamke mzuri Maisha hayawe,I kumshinda.
5. Watoto watajivunia uzuri WA Mama Yao.
6. Kazi ya Mkeo itazidisha uimara wa familia. Hasa kama atakuwa anakupenda na unaakili za mwanaume.
7. Dunia yote Hii, nature inaagiza Watu waoe Wanawake Wazuri Sana. Nature ni rahisi kukusapoti kama utaweza kuoa mwanamke mzuri mwenye Sifa ulizozitaja.
Ni ndoto ya kila Mwanadamu kuoa mwanamke mwenye Sifa ulizozitaja hapo.
Mengine huja kama visingizio tuu.
π π«‘ usioe tena .Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.
Hakuna ela mezani,huwezi kumtuma akaenda bila kuhoji na ujibu vizuri niko na majuto haya maisha.
Any way na mimi nimeamua kujijengea kamjengo wangu kwa Siri nikakwapue Mke wapili nimkimbie mazima hili beijim
Muscular feminist.....Mimi napenda mwanamke mzuri wa sura tu. Mambo ya shape siyapi kipaumbele. Shape sio constant factor, kuna wanawake walikua wana shape namba nane katika ubinti, baada ya kuzaa zimepotea.
Binafsi mwanamke akishakua na kazi na akawa anajifanya feminist ananikata stim. Sitaki hata ukaribu nae hata awe mzuri vipi. Nikija kuoa ntaoa hawa form 4 graduates, mwenye kipawa cha biashara, submissive na mwenye hofu ya Mungu tu.
Kwamba huyo mke wa pili atakuwa malaika! Jitafute jombaa...Hoja imeshiba na imejitosheleza...mimi moja wapo ambae nimeyakanyaga haya ma Beijin japo langu lina kazi nzuri lakin elimu ya wastan...Shida ni vile ulivyo vitaja.