dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Usijaribu jiraniNawaza tu siku ya kuja kupaka hizo mambo cjui ntakuwa kichekesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijaribu jiraniNawaza tu siku ya kuja kupaka hizo mambo cjui ntakuwa kichekesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sithubutu kabisaUsijaribu jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sithubutu kabisa
Huna lolote wivu tu unakusumbua, unajua nikipaka makeup nitakushinda uzuri[emoji23]Mwenza hiyo sura yako imeshindikana acha utatisha watu.
Mwenza nakupenda sana, na akupendae lazima akwambie ukweli.Huna lolote wivu tu unakusumbua, unajua nikipaka makeup nitakushinda uzuri[emoji23]
Baki na ukweli wako[emoji57][emoji57][emoji57]Mwenza nakupenda sana, na akupendae lazima akwambie ukweli.
😂😂😂😂Baki na ukweli wako[emoji57][emoji57][emoji57]
hahahaNdio maana kwenye ki date cha kwanza mimi huwa nawapeleka swimming
before ni mzuri kuliko after [emoji3]
Shikamoo make up..
Marahaba [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni shidaShikamoo make up..
Na Mimi naomba nianze rasmi maana watu wanapendeza siyo kawaidaDah! Kuanzia leo nitaanza rasmi kupaka makeup
Nawaza tu siku ya kuja kupaka hizo mambo cjui ntakuwa kichekesho
Ivi kumbe na kope hua wanazichana maana zimechambuka😁😁😁Shikamoo make up..
Mkuu hapa umetumia concealer au white cement?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]