Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Wewe unawaamini mazayuni? Inaweza kuwa wamemuua wenyewe na walipotekwa watu wakavunga na hao Watanzania wametekwa.

Hata yule kijana aliyekufa, hatujasikia Wapalestina wakimtangaza popote, maana mateka wengine waliokufa wametangazwa.

Mwenyezi Mungu amlinde, kama kashika na Wapalestina basi tusiwe na wasiwasi kabisa kwani mateka wote walioachiwa, wale wa kwanza na hata waliwachiwa jana wamesema walikuwa wanawekwa vizuri, shida yao ilikuwa kuhamishwa hamishwa tu lakini hakuna kibaya walichofanyiwa na Wapalestina, walichokula vijana wa kipalestina na wao walikula hicho hicho, hakuna kubaguliwa.
 
Sadly. Serikali inatakiwa iweke uzalendo mbele dini nyuma. Uzalendo mbele ukabila nyuma. Huku tunapoenda m'enzi Mungu atusaidie
Kama ulikuwa huelewi, kwa mazayuni ni heri uwe Muislam kuliko mkristo.
 
Foxy foxy what have zionists done to you? Anyway kama nilivyosema kwenye post yangu inawezekana ni missiles za Israel au Hamas waliomexecute. It is well documented how Arab Palestinians treat Black Palestinians si ajabu wakawa wamemuona Clemence kuwa si kitu. Hii ni theory yangu. Unadhani mazayuni kama wewe unavyowarefer wamelenga missiles makusudi wakimlenga Clemence na kutoa uhai wake ili baadae waje walaumu Hamas? Alas umeprove point yangu Palestinians hawakumtaja because most of them are sadly racist so Clemence a black African doesn't matter. Mwili wa kijana umeshawasili hivi ninavyozungumza. Kama hatuwaamini mazayuni na Hamas wasiaminiwe pia. Peace
 
I see.....Hawa ni orthodox Jews who I can't stand either as well. Honestly screw them. Hawa Jamaa wa far right ambako Netanyahu yuko damu damu nao wanafanya mambo mabaya sana kwa Palestinians West Bank. Hawa settlers watazidi kuchochea ugomvi unaoendelea Kati ya pande mbili. Ila cha ajabu viongozi wa kidini wakikristo hawakemei Hawa viraka orthodox Jews na mambo yao ya ajabu
 
Naona Kingereza kinakupiga chenga, soma vizuri au tumia google translate.
 

Takbiiiirrrr
 

Hajui kutofautisha kati ya freedom fighters na magaidi yenye mlengo wa kidini.
 
Vyombo vyetu vya habari hukimbilia kuandika mambo ya hovyo kuliko ya msingi na yanye maslahi kwa taifa
 
Naona Kingereza kinakupiga chenga, soma vizuri au tumia google translate.
I don't need Google translate ma'am. I clearly said and condemned the far right orthodox jews who are violent towards Christians. I even condemned the actions of settlers in the West Bank just to put a topping in my argument and it's still not good enough for you. This is not a futile discussion with you. You want me to say all Jews hate Christians which isn't true.
 
Inawezekana mimi nilikuelewa vibaya. Apologies.
 
Labda wanaamini wakiwakemea hawataiona mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…