Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
Wewe unawaamini mazayuni? Inaweza kuwa wamemuua wenyewe na walipotekwa watu wakavunga na hao Watanzania wametekwa.

Hata yule kijana aliyekufa, hatujasikia Wapalestina wakimtangaza popote, maana mateka wengine waliokufa wametangazwa.

Mwenyezi Mungu amlinde, kama kashika na Wapalestina basi tusiwe na wasiwasi kabisa kwani mateka wote walioachiwa, wale wa kwanza na hata waliwachiwa jana wamesema walikuwa wanawekwa vizuri, shida yao ilikuwa kuhamishwa hamishwa tu lakini hakuna kibaya walichofanyiwa na Wapalestina, walichokula vijana wa kipalestina na wao walikula hicho hicho, hakuna kubaguliwa.
 
Sadly. Serikali inatakiwa iweke uzalendo mbele dini nyuma. Uzalendo mbele ukabila nyuma. Huku tunapoenda m'enzi Mungu atusaidie
Kama ulikuwa huelewi, kwa mazayuni ni heri uwe Muislam kuliko mkristo.
 
Wewe unawaamini mazayuni? Inaweza kuwa wamemuua wenyewe na walipotekwa watu wakavunga na hao Watanzania wametekwa.

Hata yule kijana aliyekufa, hatujasikia Wapalestina wakimtangaza popote, maana mateka wengine waliokufa wametangazwa.

Mwenyezi Mungu amlinde, kama kashika na Wapalestina basi tusiwe na wasiwasi kabisa kwani mateka wote walioachiwa, wale wa kwanza na hata waliwachiwa jana wamesema walikuwa wanawekwa vizuri, shida yao ilikuwa kuhamishwa hamishwa tu lakini hakuna kibaya walichofanyiwa na Wapalestina, walichokula vijana wa kipalestina na wao walikula hicho hicho, hakuna kubaguliwa.
Foxy foxy what have zionists done to you? Anyway kama nilivyosema kwenye post yangu inawezekana ni missiles za Israel au Hamas waliomexecute. It is well documented how Arab Palestinians treat Black Palestinians si ajabu wakawa wamemuona Clemence kuwa si kitu. Hii ni theory yangu. Unadhani mazayuni kama wewe unavyowarefer wamelenga missiles makusudi wakimlenga Clemence na kutoa uhai wake ili baadae waje walaumu Hamas? Alas umeprove point yangu Palestinians hawakumtaja because most of them are sadly racist so Clemence a black African doesn't matter. Mwili wa kijana umeshawasili hivi ninavyozungumza. Kama hatuwaamini mazayuni na Hamas wasiaminiwe pia. Peace
 
Huwa sikisii:

This article is more than 7 months old

Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch​

This article is more than 7 months old
Benjamin Netanyahu’s rightwing policies are emboldening attacks on 2,000-year-old community, says Catholic regional leader

Soma: Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch
I see.....Hawa ni orthodox Jews who I can't stand either as well. Honestly screw them. Hawa Jamaa wa far right ambako Netanyahu yuko damu damu nao wanafanya mambo mabaya sana kwa Palestinians West Bank. Hawa settlers watazidi kuchochea ugomvi unaoendelea Kati ya pande mbili. Ila cha ajabu viongozi wa kidini wakikristo hawakemei Hawa viraka orthodox Jews na mambo yao ya ajabu
 
Naona Kingereza kinakupiga chenga, soma vizuri au tumia google translate.
 
Bahati mbaya ukijikuta kwenye mikono ya magaidi ya kiislamu

Gaidi akikuuliza unaitwa nani mwambie Abdulkarim akikuuliza tena mke mkubwa wa mtume anaitwa nani mwambie ndio umesilimu una wiki moja bado ujamjua
Pia usisahau kusema inshallah na allahmdulilai
Hili unusurike usije ukafa kiboya

Takbiiiirrrr
 
[emoji38]

So according to you, Israel missiles zimewabagua Thailand citizens, Philippine citizens na wale wazee walioachiliwa leo imeenda kuua Clemence. Are you serious bruv? Okay IDF missiles zina ubaguzi wa rangi ffs

Point ya pili, unawaita Hamas freedom fighters
[emoji38]. Viongozi wake freedom fighters huwa wanapenda kuona maendeleo kati ya watu wanaowapigania. Kaangalie historia ya Black Oanthers wa Marekani na jitihada walizozifanya kusaidia community za wamarekani weusi. Umkhonto wenyewe walifanya terrorist attacks ila hawakufuata na kutarget raia hata kama ni Boers. They even apologized for collateral damage. Leo unataka tuwalinganishe Hamas na the later? Kwenda door to door kuuwa vitoto vichanga, killing pregnant women na kuchukua watu wasiojiweza hostage is freedom fighting? Is rape freedom fighting tena on top of that kwa kumdhihaki mwenyenzi Mungu wao na kusema Allahuakbar.....stop it bwana

Hajui kutofautisha kati ya freedom fighters na magaidi yenye mlengo wa kidini.
 
Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo.
Vyombo vyetu vya habari hukimbilia kuandika mambo ya hovyo kuliko ya msingi na yanye maslahi kwa taifa
 
Naona Kingereza kinakupiga chenga, soma vizuri au tumia google translate.
I don't need Google translate ma'am. I clearly said and condemned the far right orthodox jews who are violent towards Christians. I even condemned the actions of settlers in the West Bank just to put a topping in my argument and it's still not good enough for you. This is not a futile discussion with you. You want me to say all Jews hate Christians which isn't true.
 
Inawezekana mimi nilikuelewa vibaya. Apologies.
 
I see.....Hawa ni orthodox Jews who I can't stand either as well. Honestly screw them. Hawa Jamaa wa far right ambako Netanyahu yuko damu damu nao wanafanya mambo mabaya sana kwa Palestinians West Bank. Hawa settlers watazidi kuchochea ugomvi unaoendelea Kati ya pande mbili. Ila cha ajabu viongozi wa kidini wakikristo hawakemei Hawa viraka orthodox Jews na mambo yao ya ajabu
Labda wanaamini wakiwakemea hawataiona mbingu
 
Back
Top Bottom