Hanifer Mjanja
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 217
- 329
- Thread starter
-
- #241
Kwa hiyo wezi tuwaache tu tusiwakamate wala kuwashtaki kwa sababu hakuna ambae hana kosa hata moja?Iyo ni tabia ya kike mzee.. kuzaa ni uhamuzi wa mtu na mimba inaweza kutolewa kwa usalama na muhusika akaendelea na mishe zake za kila siku.. hivi wewe ulipo hauna kosa hata moja kisheria unasema ulikua unahusika kuzitoa izo mimba kama kweli unajutia hicho kitendo kwanini usiende kusema polisi ili na wewe ukamatwe badala yake unawachongea wenzako kwa identity fake. Kazi hauiwezi achana nayo kimya kimya
Tuanze kwenye malezi. Hao wanaotoa wangelelewa vizuri wasingetoa. Pia wanavyotoa wanawake ujue kuna mwanaume nyuma yake. Yes ni uuaji lakini kabla ya kufika clinic kuna jamii huku nyuma. Inakemea utoaji ila haikemei zinaa.Suluhisho sasa ni nini?Tuache, tunyamaze waendelee tu kuvunja sheria ya nchi?
Hata kama umeshiriki mara moja my dear haitabadilisha tittle ya kwamba wewe ni muuwaji. Aliyeshiriki mara moja na wa mara mia wote wauwaji. Its never too late kivipi wakati umeshadhurumu maisha ya viumbe wasio na hatia na hakuna namna unaweza kuwacompesate for it?? Narudia tena kama ulikuwa mmoja wa wauwaji kwa utashi wako acha unafiki wa kujifanya beta late zan never. Muuwaji tuu wewe usijisafishe kwa kujipaka chokaaKuzikusanya wapi. Unajua nimeshiriki hilo kwa muda gani?
Its never too late.
Better late than never.
Sawa Deputy GOD.Hata kama umeshiriki mara moja my dear haitabadilisha tittle ya kwamba wewe ni muuwaji. Aliyeshiriki mara moja na wa mara mia wote wauwaji. Its never too late kivipi wakati umeshadhurumu maisha ya viumbe wasio na hatia na hakuna namna unaweza kuwacompesate for it?? Narudia tena kama ulikuwa mmoja wa wauwaji kwa utashi wako acha unafiki wa kujifanya beta late zan never. Muuwaji tuu wewe usijisafishe kwa kujipaka chokaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeiweka vizuri mno.Tuanze kwenye malezi. Hao wanaotoa wangelelewa vizuri wasingetoa. Pia wanavyotoa wanawake ujue kuna mwanaume nyuma yake. Yes ni uuaji lakini kabla ya kufika clinic kuna jamii huku nyuma. Inakemea utoaji ila haikemei zinaa.
Kwahiyo hutaki au?Kufichua uovu ndo kusagia kunguni?
Nimeuliza tu swali.Kwahiyo hutaki au?
Vice versa bwashee!
😁😁😁
Eti hawasikii maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]....acha kuongelea mambo ya kike as if ulishatestUzuri wao wana vifaa vya kisasa wala mtolewaji hasikii maumivu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawatumii machuma kama wale wa hospitali za kata!
P2 ni kwa ajili ya kuzuia mimba isitungwe baada ya tendo(emergence contraception), haihesabiki kama abortion (japokua kuna debate kubwa juu ya hili). Lakini, kwa Tanzania sheria imeruhusu itumike for emergence contraception.Mbona nchi imeruhusu P2 na Miso ziingizwe?
Kwahiyo huyu ni dume ?Tafuta ID inayoendena na jinsia yako... Wanawake Huwa hawacheki namna ulivyocheka.
Amewahi kumpeleka mtu wake kutoa mimba.Eti hawasikii maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]....acha kuongelea mambo ya kike as if ulishatest
We unaujua mziki wa kutoa mimba?
Oooh kumbe za nchi,nilijua za munguSijali tena hata. Najua kwa kuleta hili hapa, wanaweza kunigundua na kunifukuza. Ila bora nifukuzwe kuliko kuendelea kushiriki hili la uvunjaji sheria za nchi.
Marie Stopes ni jina la mtu, one of the founders wa hiyo taasisi. Soma historia yake kwenye link ifuatayo Marie Stopes | British botanist and social workerSio huko Mwanza tu hawa Marie Stopes sehem nyingi wanafanya hivyo. Jina tu ni Stop-es unafahamu maana ya hilo jina?
Ingekua za dini ningewashtakia kwa mamlaka za kiserikali?Oooh kumbe za nchi,nilijua za mungu
Kila la kheri
Kama uyo mwizi unashirikiane nae kuiba na wewe umechoka kuiba basi hapo kuna mawili uache wizi kimya kimya au ukatoe taarifa ya matukio ya wizi mliyofanya pamoja.. lakini kumchongea mwenzako kwa identity fake huo ni ushoga. Kama kweli nafsi inakusuta nenda polisi katoe taarifa na useme na wewe pia ulikua mmoja wapo katika jopo la watoaji mimbaKwa hiyo wezi tuwaache tu tusiwakamate wala kuwashtaki kwa sababu hakuna ambae hana kosa hata moja?
Una jazba sana mbona?Kama uyo mwizi unashirikiane nae kuiba na wewe umechoka kuiba basi hapo kuna mawili uache wizi kimya kimya au ukatoe taarifa ya matukio ya wizi mliyofanya pamoja.. lakini kumchongea mwenzako kwa identity fake huo ni ushoga. Kama kweli nafsi inakusuta nenda polisi katoe taarifa na useme na wewe pia ulikua mmoja wapo katika jopo la watoaji mimba
Acha ufala wewe. Kama keeli nafsi inakusuta kwa kinachofanyika wewe ukiwa mmoja wa wanaohusika kutoa izo mimba taja jina lako kamili na unapoishi ili ivyo vyombo vya usalama vianze na weweUna jazba sana mbona?
Hayo ni mawazo yako, ni mazuri sana lakini hayafanani na ya kwangu. Usilazimishe mawazo yako kuwa ndo universal.
Punguza jazba kwanza.Acha ufala wewe. Kama keeli nafsi inakusuta kwa kinachofanyika wewe ukiwa mmoja wa wanaohusika kutoa izo mimba taja jina lako kamili na unapoishi ili ivyo vyombo vya usalama vianze na wewe
Issue sensitive au umbeya?Unaleta mzaha kwenye issue sensitive