DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Iyo ni tabia ya kike mzee.. kuzaa ni uhamuzi wa mtu na mimba inaweza kutolewa kwa usalama na muhusika akaendelea na mishe zake za kila siku.. hivi wewe ulipo hauna kosa hata moja kisheria unasema ulikua unahusika kuzitoa izo mimba kama kweli unajutia hicho kitendo kwanini usiende kusema polisi ili na wewe ukamatwe badala yake unawachongea wenzako kwa identity fake. Kazi hauiwezi achana nayo kimya kimya
Kwa hiyo wezi tuwaache tu tusiwakamate wala kuwashtaki kwa sababu hakuna ambae hana kosa hata moja?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Suluhisho sasa ni nini?Tuache, tunyamaze waendelee tu kuvunja sheria ya nchi?
Tuanze kwenye malezi. Hao wanaotoa wangelelewa vizuri wasingetoa. Pia wanavyotoa wanawake ujue kuna mwanaume nyuma yake. Yes ni uuaji lakini kabla ya kufika clinic kuna jamii huku nyuma. Inakemea utoaji ila haikemei zinaa.
 
Kuzikusanya wapi. Unajua nimeshiriki hilo kwa muda gani?
Its never too late.
Better late than never.
Hata kama umeshiriki mara moja my dear haitabadilisha tittle ya kwamba wewe ni muuwaji. Aliyeshiriki mara moja na wa mara mia wote wauwaji. Its never too late kivipi wakati umeshadhurumu maisha ya viumbe wasio na hatia na hakuna namna unaweza kuwacompesate for it?? Narudia tena kama ulikuwa mmoja wa wauwaji kwa utashi wako acha unafiki wa kujifanya beta late zan never. Muuwaji tuu wewe usijisafishe kwa kujipaka chokaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa Deputy GOD.
 
Tuanze kwenye malezi. Hao wanaotoa wangelelewa vizuri wasingetoa. Pia wanavyotoa wanawake ujue kuna mwanaume nyuma yake. Yes ni uuaji lakini kabla ya kufika clinic kuna jamii huku nyuma. Inakemea utoaji ila haikemei zinaa.
Umeiweka vizuri mno.
 
Uzuri wao wana vifaa vya kisasa wala mtolewaji hasikii maumivu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawatumii machuma kama wale wa hospitali za kata!
Eti hawasikii maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]....acha kuongelea mambo ya kike as if ulishatest

We unaujua mziki wa kutoa mimba?
 
Mbona nchi imeruhusu P2 na Miso ziingizwe?
P2 ni kwa ajili ya kuzuia mimba isitungwe baada ya tendo(emergence contraception), haihesabiki kama abortion (japokua kuna debate kubwa juu ya hili). Lakini, kwa Tanzania sheria imeruhusu itumike for emergence contraception.
Miso inaingia nchini kwa sababu ya matumizi ya kwenye kujifungua-Huwa inatumika kusaidia kizazi kusinyaa baada ya kujifungua na hivyo kuzuia mama aliejifungua kutoka damu, hivyo inatumika sana kwenye wodi za uzazi (labour and delivery wards). Hizo MISO zinazouzwa kwenye pharmacies ni kwa black market, ila hazitakiwi kuuzwa huko. Matumizi pekee ya Miso yaliyoidhinishwa Tanzania ni hayo tu.
Mwisho kabisa, kwa sheria ya Tanzania imesema wazi kuwa abortion ni kinyume cha sheria.
 
Sio huko Mwanza tu hawa Marie Stopes sehem nyingi wanafanya hivyo. Jina tu ni Stop-es unafahamu maana ya hilo jina?
 
Kwa hiyo wezi tuwaache tu tusiwakamate wala kuwashtaki kwa sababu hakuna ambae hana kosa hata moja?
Kama uyo mwizi unashirikiane nae kuiba na wewe umechoka kuiba basi hapo kuna mawili uache wizi kimya kimya au ukatoe taarifa ya matukio ya wizi mliyofanya pamoja.. lakini kumchongea mwenzako kwa identity fake huo ni ushoga. Kama kweli nafsi inakusuta nenda polisi katoe taarifa na useme na wewe pia ulikua mmoja wapo katika jopo la watoaji mimba
 
Una jazba sana mbona?
Hayo ni mawazo yako, ni mazuri sana lakini hayafanani na ya kwangu. Usilazimishe mawazo yako kuwa ndo universal.
 
Una jazba sana mbona?
Hayo ni mawazo yako, ni mazuri sana lakini hayafanani na ya kwangu. Usilazimishe mawazo yako kuwa ndo universal.
Acha ufala wewe. Kama keeli nafsi inakusuta kwa kinachofanyika wewe ukiwa mmoja wa wanaohusika kutoa izo mimba taja jina lako kamili na unapoishi ili ivyo vyombo vya usalama vianze na wewe
 
Acha ufala wewe. Kama keeli nafsi inakusuta kwa kinachofanyika wewe ukiwa mmoja wa wanaohusika kutoa izo mimba taja jina lako kamili na unapoishi ili ivyo vyombo vya usalama vianze na wewe
Punguza jazba kwanza.
Nahisi wewe ni mmoja wa wanufaika wa hii biashara ya utoaji mimba, ndio maana umelipuka sana maslahi yako yanahatarishwa.
 
Back
Top Bottom