The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.
Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siko vizuri katika lugha ya malkia lakini nimemwelewa vizuri. Jamani tusomeshe watoto
Tunasuburia uzi mreefu ukielezea kodi bwan taikonKwa hiyo serikali za nchi Masikini zinaweka Kodi na tozo kubwa ili kuwaaminisha hao Mabwana kuwa wanauwezo wa kulipa Mikopo watakayowakopesha. Jambo ambalo linazidi kudidizima na kufanya nchi hizo zizidi kuwa Masikini maradufu.
KAZI kwelikweli.
Ameniongezea kitu.
Tunasuburia uzi mreefu ukielezea kodi bwan taikon
Dah kibaya zaidi katika clip ya dakika 2+ plus, mfano uliotolewa ni Tanzania tu. Hii inaonyesha kabisa kuwa hata donor country hawaielewi PhD ya mwipumbu nchamba.
Kuonegeza kodi ili tu kuaminisha watoa mikopo kuwa tuna uwezo wa kuilipa ni clear reason ya kuwa nchi inaongozwa na vibwengo.
Ni hatari sana aseHayo maneno huyo Mzungu Yakitumwa Kwa Watanzania wote itakuwa ni hatari Sana.
Yanajitosheleza, wengi hawatalipa Kodi.
Ingawaje serikali inaweza kutumia mabavu kuwafanya walipe.