Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 286
- 749
alooh na mfano hai ukaekwa. Kwamba nchi x inapandisha tax ili kuwaonesha kwamba uwezo wa kulipa deni upo kumbe ni kudidimiza uchumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili sio swala la Mwigulu bali ni swala la Nchi,higher taxes have been there over long period of time..Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.
Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
View attachment 2360992
Hapa ndo kuna shida mkuu. Uwekezaji kuongezeka sehemu ambayo tozo zinaongezwa kila kukicha ni ngumu. Yule senator kwenye ile clip ameongelea suala la kampuni kama NIKE kuwekeza nchi kama bongo ni vigumu sana kutokana na mfumo wa ukusanyaji kodi tulionao.Hili sio swala la Mwigulu bali ni swala la Nchi,higher taxes have been there over long period of time..
Na nilimsikia siku moja Mwigulu akisema serikali ingependa kushusha hata VAT kuwa 5% nk ila hawawezi kwa sababu ya kuwa na tax base ndogo Sana kiasi kwamba wakifanya hivyo watakosa pengo la kufidia..
But ushauri Wangu ni kwamba wanaweza endelea kupunguza VAT kwa digit kadhaa kwenye sector za kipaombele na kadiri uwekezaji unavyoongezeka wazidi kupunguza zaidi walau by 2030 tuwe na 8-10% ya VAT huku kwenye salaries Kodi iwe ndogo isizidi 5%..huku biashara ndogo ndogo ziwe zinalelewa kiasi kwamba sio tuu zisitozwe Kodi bali leseni tuu hadi zikue.
Hili liendane na kupunguza urasimu kwa Kodi na tozo mbalimbali kuziqeka pamoja na kusiwe na utitiri wa tozo..
Ili uchumi ukue ni lazima ku stimulate demand na demand itavitia investment ambayo inturn itaongeza uzalishaji..
Wanafanya makusudi lengo ni kuwakomoa wananchi kwa kuwafanya wawe masikiniDah! Ukweli mtupu, mikodi na mitozo mingi haisaidii kukuza uchumi bali ni kuendeleza kudidimiza wananchi
2025 is the case!tacticle game!Wanafanya makusudi lengo ni kuwakomoa wananchi kwa kuwafanya wawe masikini