Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Tatizo elimu ya tz ni ya kukariri. Mtu anapata PhD lakini hajaelewa chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri wanaCCM tawi la mtandaoni waje kumpiga mzungu mawe na kumuita beberu asiyetaka watu Tz ijitegemee.
Hili mbona linaeleweka kabisa kuwa kufanya makusanyo makubwa kwa asiyekuwanacho ni kumdidimiza mhusika, kuna siku hutapata cha kukusanya kutoka kwake.
Wote tulipe kodi lakini viwango viangaliwe upya.
"Dokta"wa uchumi aje asikilize hii maneno!Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.
Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
View attachment 2360992
Kimei angeondoa kadhia hii huyu mzee ni mbunifu ajabu,sitasahau jinsi alipoitoa CRDB na pahala alipoifikisha mpaka kuwa most respected bank!Tuna watu wapuuzi kama Mwigulu, maisha yao yote yameishi kwa ujanja ujanja tuu kwa ruzuku za chama na serikali na hajawahi kufanya kazi yeyote ya maana au biashara na inaonekana ana background ya njaa sana, bora hata Kimei angekuwa Waziri wa fedha au kina Aboud wafanyabiashara wa kweli wangeweza kuona jinsi matozo na mikodi inavyoua uchumi wetu, hili jinga Mwigulu siku likifanikiwa kuwa Raisi mjue nchi imerudi stone age
Mfano ukiondoa import duty kwenye uingizaji magari utapata makusanyo zaidi kwa kutumia kanuni ya cheap to import expensive to maintain. Yaani unafuta kodi za kuingiza magari Ili kupromote watu kununua magari kwa wingi then kodi yako utaipata kupitia usajili wa magari, fine, parking, bima, garage, mafuta, ushuru wa barabara, nk.
... that's the reality! Kama TRA wanachukua hadi mtaji; huo mtaji utakua vipi? Ndio maana biashara zinakufa."Those high tax rates make it impossible to raise capital"
Mlete mzunguuuuHata Mimi nimesikia tu never, cut tax, remain poor, na sijui charity? Ila kama anapinga tozo na Kodi kubwa. Au tuletewe mzungu?
Sio kulipa madeni, ni kulipa mariba matupu, Job Ndugai anajua, na mariba matupu!! Deni linabaki pale pale, na hiyo mikopo huwa hata haifiki huku, inapigwa juu kwa juu, ila deni na mariba tunabaki nayo!!Kaongea ukweli mtupu......
Tunajitutuma.na matozo kilipa madeni.
madini na mbuga za wanyama tunazo
Na huo mtaji wanaochukua ni kwa ajili yankwemda kulipa Riba kubwa za mikopo ya ajabu tuliyochukua... that's the reality! Kama TRA wanachukua hadi mtaji; huo mtaji utakua vipi? Ndio maana biashara zinakufa.
... kufanya biashara nchi hii ni kujitia wazimu! Biashara ndogo ndogo nyingi zimefungwa sababu ya kodi ambazo ni unrealistic.Pale wizara ya fedha kuna wasomi na.huwa wanagombania safari kwenda nje na haya wanayasikia lakinj wanayaacha vitabuni.
Kodi ingekuwa ndogo kiasi watu wengi wangejikita kwenye biashara binafsi. Lakimi hapa kila siku zinazaliwa tozo mpya unaambiwa ilikiwepo kwenye sheria lakini ilikuwa haitekelezwi sasa tunaitekeleza
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Pale wizara ya fedha kuna wasomi na.huwa wanagombania safari kwenda nje na haya wanayasikia lakinj wanayaacha vitabuni.
Kodi ingekuwa ndogo kiasi watu wengi wangejikita kwenye biashara binafsi. Lakimi hapa kila siku zinazaliwa tozo mpya unaambiwa ilikiwepo kwenye sheria lakini ilikuwa haitekelezwi sasa tunaitekeleza
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Mzungu amesema ukweli mtupu lkn kusema Makampuni yanaenda Kenya badala ya Tz si kweli,hizo MNC's zinafanya tax planning za hatari(hapo ndipo utazijua kazi za E&Y, Deloitte n touche,KPMG,PWC etc) mwisho wa siku tax deductions Zinakua nyingi kishenzi(wanafanya Tax avoidance) na Profit wanavyokuja ku-declare inakuja kua ndogo hence na Kodi watakayolipa inakua ndogo au wana-declare loss tu mwanzo mwisho.Mtapambana nao kwny 'unrelivied loss' hapo.Mzee kaongea ukweli kumbe kuna muda wanatuonea huruma,,,na kaitaja kabisa Tanzania ,,,,kodi kubwa inaua uchumi,,,ndio mana makampuni makubwa ya marekani wanaenda zao Kenya,,Hii nchi sijui nani kairoga