Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Ndio Maana hata biashara zinakufa kila siku , unakuta Hakuna muda wa kuiruhusu biashara kukua na kutanuka , kukua Kwa biashara kuna hitaji muda na resources .Ulaya ina maskini wachache,tayari ina matajiri wengi walio wakubwa
Sasa unaanzisha biashara leo TRA na mamlaka nyingine wanakubebesha lundo la kodi zinazozidi sometimes hata Mtaji sasa huo ni ujinga gani ?