Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

Duuuh hii clip nimeiangalia mara 10. Honestly a ngozi nyeusi ni laana.
Nipo Ngara njooni mniue
Binafsi mkuu Nina plan ya kuhamia ulaya ,natafuta hela ya kununua apartment nje nisepe. Yaani Bora kizazi changu wakioana na wazungu karibu mpaka kizazi Cha sita hivi nitakuwa Nisha wazungulize kizazi changu mazima.
Na discourage kuzaa na blacks wenzao. Mayweather utajiri ule pale kazi kupiga picha na mahela sijawahi muona Elon musk anafanya ivyo. Anadhani yeye pekee kwa njia yake Ile ndio anapata hela kiume.

Hawazi kizazi chake Cha tatu na tano wataishije. Anabakia eti kumfanyia mwanae birthday ya milioni Mia anajiona mjanja.
Huku ana uwezo wa kuwekeza ama afungue kiwanda matata kifanye kazi hata kwa 500-1000yrs sema blacks iyo akili hatuna tunawaza kuuza Mali za marehemu tule Bata na kununua gari za Bei Kali unajiona wewe mjanja kumbe unanufaisha mwenye kiwanda Cha Lamborghini
 
Dah kibaya zaidi katika clip ya dakika 2+ plus, mfano uliotolewa ni Tanzania tu. Hii inaonyesha kabisa kuwa hata donor country hawaielewi PhD ya mwipumbu nchamba.

Kuonegeza kodi ili tu kuaminisha watoa mikopo kuwa tuna uwezo wa kuilipa ni clear reason ya kuwa nchi inaongozwa na vibwengo.
Haaa haaaaa
 
Inasikitisha sana kila mwaka nchi inazalisha lundo la wachumi lakini hawawezi kuona mambo mepesi kama haya.
Senator WA US sijui Jimbo gani huyu kaongelea hii kitu muda mrefu Sana ,hii clip ni ya muda Sana .
Kutoboa kwenye hizi nchi ni ndoto . Ni vigumu mtu kuaccumulate mitaji na utajiri let alone hata wawekezaji kuja kuanzisha miradi na uwekezaji wa maaana Kwa nchi kama Tanzania .
Sababu ya high taxes na lundo la tozo
 
"Oppressive tax rates"
morganthink.png
Mwigulu?
 
Tozo zote zinaenda kwenye ma Vx na kula bata ulaya
 
Wazungu wana akili sana. Huu ndiyo ukweli mchungu.

Shida ya viongozi wetu ni ubinafsi. Ni wabinafsi kama fisi. Wao wenyewe hawataki kulipa kodi na wanapewa huduma zote na serikali kama maiti.

Bila kufanya mabafiliko makubwa kwenye mifumo yetu ya kodi na uongozi hatuwezi toboa kamwe
 
Clip iwe ya zamani au ya jana lakini kaongea ukweli

Kodi na uchumi vinategemeana Ila sio kwa kiwango hichi ...watu watachoka hela yangu 'niweke kwenye account nikatwe tozo wakalipie ma v8
 
Back
Top Bottom