Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

Acha waisome namba eeehhh...
Saivi tuko bize na Malkia wetu alie tupa uhuru.

Mzungu hana elimu kama ya Mwigulu bhanaa asitupangie [emoji23][emoji23][emoji23]
Atuachie Tanzania na Mwigulu wetu tuangaike nae hahahahah
 
Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie.

Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma

View attachment 2360992
Hili sio swala la Mwigulu bali ni swala la Nchi,higher taxes have been there over long period of time..

Na nilimsikia siku moja Mwigulu akisema serikali ingependa kushusha hata VAT kuwa 5% nk ila hawawezi kwa sababu ya kuwa na tax base ndogo Sana kiasi kwamba wakifanya hivyo watakosa pengo la kufidia..

But ushauri Wangu ni kwamba wanaweza endelea kupunguza VAT kwa digit kadhaa kwenye sector za kipaombele na kadiri uwekezaji unavyoongezeka wazidi kupunguza zaidi walau by 2030 tuwe na 8-10% ya VAT huku kwenye salaries Kodi iwe ndogo isizidi 5%..huku biashara ndogo ndogo ziwe zinalelewa kiasi kwamba sio tuu zisitozwe Kodi bali leseni tuu hadi zikue.

Hili liendane na kupunguza urasimu kwa Kodi na tozo mbalimbali kuziqeka pamoja na kusiwe na utitiri wa tozo..

Ili uchumi ukue ni lazima ku stimulate demand na demand itavitia investment ambayo inturn itaongeza uzalishaji..
 
Wakati tnapambana na gumzo la tozo kuna mtu anatumia mamilioni ya shilingi kwenda kusifia daraja huku mwingine akisafili kwa mamilioni ya pesa kwenda kumzika Malkia, kuna mwingine alikuwa anatumia helkopta kukagua anuani za makazi. hii nchi haitaishiwa vituko
 
Hili sio swala la Mwigulu bali ni swala la Nchi,higher taxes have been there over long period of time..

Na nilimsikia siku moja Mwigulu akisema serikali ingependa kushusha hata VAT kuwa 5% nk ila hawawezi kwa sababu ya kuwa na tax base ndogo Sana kiasi kwamba wakifanya hivyo watakosa pengo la kufidia..

But ushauri Wangu ni kwamba wanaweza endelea kupunguza VAT kwa digit kadhaa kwenye sector za kipaombele na kadiri uwekezaji unavyoongezeka wazidi kupunguza zaidi walau by 2030 tuwe na 8-10% ya VAT huku kwenye salaries Kodi iwe ndogo isizidi 5%..huku biashara ndogo ndogo ziwe zinalelewa kiasi kwamba sio tuu zisitozwe Kodi bali leseni tuu hadi zikue.

Hili liendane na kupunguza urasimu kwa Kodi na tozo mbalimbali kuziqeka pamoja na kusiwe na utitiri wa tozo..

Ili uchumi ukue ni lazima ku stimulate demand na demand itavitia investment ambayo inturn itaongeza uzalishaji..
Hapa ndo kuna shida mkuu. Uwekezaji kuongezeka sehemu ambayo tozo zinaongezwa kila kukicha ni ngumu. Yule senator kwenye ile clip ameongelea suala la kampuni kama NIKE kuwekeza nchi kama bongo ni vigumu sana kutokana na mfumo wa ukusanyaji kodi tulionao.
 
Waanzie hapa "Tickets zote za daladala mpaka mabasi na kila aina ziwe E-ticketing,hapa PANA pesa ndefu ya kushangaza,ili serekali ikusanye japo 100,lakini movements ya watu hsizuiliki kwenda hapa na kule! ..
A.I lazima itusaidie katika interceptance juu ya hili.
Nchi za ulaya technics zake na wananufaika kweli na sector za namna hii kwenye mass unavoidable issue.
#MASS.
wingi wa movements ni fedha.
Ticket tu peke yake inaweza kutengenezewa mamlaka Yake ndogo,kazi Yake kuchukua data za vyombo vyote vya usafiri kujua idadi Yake nchini,kuuza taxed tickets Kwa vyombo hivyo endapo kama machine unaweza kuwa aghali kidogo.
 
Mfano ukiondoa import duty kwenye uingizaji magari utapata makusanyo zaidi kwa kutumia kanuni ya cheap to import expensive to maintain. Yaani unafuta kodi za kuingiza magari Ili kupromote watu kununua magari kwa wingi then kodi yako utaipata kupitia usajili wa magari, fine, parking, bima, garage, mafuta, ushuru wa barabara, nk.
 
Nasubiri wanaCCM tawi la mtandaoni waje kumpiga mzungu mawe na kumuita beberu asiyetaka Tz ijitegemee.

Hili mbona linaeleweka kabisa kuwa kufanya makusanyo makubwa kwa asiyekuwanacho ni kumdidimiza mhusika, kuna siku hutapata cha kukusanya kutoka kwake.

Wote tulipe kodi lakini viwango viangaliwe upya.
 
Tuna watu wapuuzi kama Mwigulu, maisha yao yote yameishi kwa ujanja ujanja tuu kwa ruzuku za chama na serikali na hajawahi kufanya kazi yeyote ya maana au biashara na inaonekana ana background ya njaa sana, bora hata Kimei angekuwa Waziri wa fedha au kina Aboud wafanyabiashara wa kweli wangeweza kuona jinsi matozo na mikodi inavyoua uchumi wetu, hili jinga Mwigulu siku likifanikiwa kuwa Raisi mjue nchi imerudi stone age
 
Back
Top Bottom