Ndio Maana hata biashara zinakufa kila siku , unakuta Hakuna muda wa kuiruhusu biashara kukua na kutanuka , kukua Kwa biashara kuna hitaji muda na resources .
Sasa unaanzisha biashara leo TRA na mamlaka nyingine wanakubebesha lundo la kodi zinazozidi sometimes hata Mtaji sasa huo ni ujinga gani ?
Ndio Maana sometimes hii Africa ni Bora angebaki mkoloni Tu , definitely nchi zingekuwa paradise Kwa sasa kuliko hawa parasites wanaongoza na kuterrorize hizi nchi Kwa sasa ni laana kabisa