Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Take it from me, Clausi watafunguliwa na mkuu atatamka mwenyewewe jukwaani kwamba nimewasamehe endeleeni kutoa buridani na hii itafanyika kutafuta Milage.Hawana siku 3 au 4 kabla hawajafunguliwa na itaandikwa Barau kabisa ya kutoa msamaha.
Kipindi hiki cha kampeni ni vgumu kuvibana vyombo vya habari visirushe taarifa za mikutano ya kampeni za vyama kabisa kabisa.
Wakubwa wanajua effect ya kurusha nyomi za uzinduzi wa lissu Dar, jiji kubwa, inaweza ikaathiri nchi nzima, So wametarget radio na TV yenye kusikilizwa na wengi zaidi
kila sekunde - kila dakika - kila saaKwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?
Naheshimu maoni yako, hata kama usemacho sio ukweli unaonishawishi. Kwa hilo unaloamini sio kosa lako, bali ni la kwangu.
Yaani kosa la kipindi kimoja wamefungia TV na redio naona muda wote wanaomba msamaha na kupiga mziki tu. Kama kosa lilitokea clouds 360 kwanini wamefungia vipindi vyote?Wanatangazaje bila ruhusa
Hapana ,,sisi tunafahamu kua Rais wako ni bonge la msaani anajua kucheza na script,,ili kuwapumbaza watu wenye akili kisoda kama yako!.. hapo kaunda tatizo(kafunga) baadae atalitatua (anafungulia) halafu vilaza kama wewe mnashangiliaKama liko chini ya mamlaka yake shida nini? kumbe mnafahamu kabisa kwamba Rais wetu ni mwingi wa huruma enh?
Kumbe Millard kaachwa vile hutumika vizuriHuyo wakwao wanamtumia bado naye akichokwa mtamsikia...
Double standardHawa nao mbona hawajafungiwa?
View attachment 1549901
Sawa ngoja nikuache na clue hii then labda utaniambia unafikiria nini.
Gazeti a uhuru limeandika the same thing kwa nini imefungiwa Clouds lakini gazeti a uhuru imeachwa!. What do you think?
View attachment 1549986
Walitaka huo ujambazi ufanywe kuwa siri!!! Kosa la mawingu ni kuuanika kwa sauti na kideo!!!Hawa nao mbona hawajafungiwa?
View attachment 1549901