Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Huko mbali sana
Take it from me, Clausi watafunguliwa na mkuu atatamka mwenyewewe jukwaani kwamba nimewasamehe endeleeni kutoa buridani na hii itafanyika kutafuta Milage.Hawana siku 3 au 4 kabla hawajafunguliwa na itaandikwa Barau kabisa ya kutoa msamaha.
 
Naomba kuuliza kwan hao klauzi. Wame fanya jaambo gani mpaka kufungiwa ?
 
Hapana kwa sasa sheria za uchaguzi zinamfunga hawezi fanya hivyo labda afanye nyuma ya pazia
 
Hiki ndo kinachofuta. Ni kweli wamefanya kosa lakini adhabu waliyopewa ni kubwa ili iwe mtaji wa bwana yule
 
Kipindi hiki cha kampeni ni vgumu kuvibana vyombo vya habari visirushe taarifa za mikutano ya kampeni za vyama kabisa kabisa.
Wakubwa wanajua effect ya kurusha nyomi za uzinduzi wa lissu Dar, jiji kubwa, inaweza ikaathiri nchi nzima, So wametarget radio na TV yenye kusikilizwa na wengi zaidi

Naheshimu maoni yako, hata kama usemacho sio ukweli unaonishawishi. Kwa hilo unaloamini sio kosa lako, bali ni la kwangu.
 
Jamani, sasa pamoja na huo ukiherehere wao, kuna yule dada namuonaga asubuhi hapo Clouds Tv, huwa ana akiba ya mafuta ya kutosha hivi, nitamuona wapi muda wote wa wiki hii? Wengine tumeathirika kivingine kabisa. Loh
 
Naheshimu maoni yako, hata kama usemacho sio ukweli unaonishawishi. Kwa hilo unaloamini sio kosa lako, bali ni la kwangu.

Sawa ngoja nikuache na clue hii then labda utaniambia unafikiria nini.

Gazeti a uhuru limeandika the same thing kwa nini imefungiwa Clouds lakini gazeti a uhuru imeachwa!. What do you think?

IMG_20200827_0001.jpeg
 
Kama liko chini ya mamlaka yake shida nini? kumbe mnafahamu kabisa kwamba Rais wetu ni mwingi wa huruma enh?
Hapana ,,sisi tunafahamu kua Rais wako ni bonge la msaani anajua kucheza na script,,ili kuwapumbaza watu wenye akili kisoda kama yako!.. hapo kaunda tatizo(kafunga) baadae atalitatua (anafungulia) halafu vilaza kama wewe mnashangilia
.
 
Yan kuna wakati nadhani hivi vyombo vitafakari sana,,unakifungia chombo cha habari kwa wananchi ili iweje? Wao TCRA wanapata nini? Halafu familia za wanaofanya kazi katika chombo hiko ambao hawakuhusika inakuwaje?

Kwanini uwauwe njaa watoto wa wenzio kisa taarifa? Wawape adhabu yenye funzo ndani yake, wiki nzima wakanushe taarifa hivyo na kuhakikisha hao TCRA wanawapa takwimu sahihi za kuwapa watanzania wote wanaosikiliza chombo hiko.

Adhabu ambayo ni funzo ni nzuri zaidi kuliko adhabu ya kukomoa.
 
Habari yako ina mapungufu...

Si ungezisema hizo takwimu za uchaguzi walizotangaza pasipo kusithibitishwa?....

Au na wewe umeogopa kuzitaja kwa hofu ya kutenda kosa hilohilo?

Je, ni idadi ya wapiga kura walioandikishwa yaani wale 29,000,000?

Kama ndiyo hivi, basi waandishi wa habari mna kazi kwelikweli. Ni lazima muisome namba....!!
 
Back
Top Bottom