Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Vipi inatoka muda gani ndg Antonio?WATAFUNGULIWA KABLA YA SIKU SABA KUISHA.
KAMA KUNA MTU ANABISHA ASEME.
NINA UHAKIKA 100% MAGUFULI HAWEZI KUWAACHA WATOTO PENDWA WASISIKIKE HEWANI 7 DAYS. NEVER!
KUNA AMRI ITATOKA JUU MUDA SI MREFU!.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Leo wameanza Clouds, kesho wanakuja radio yako pendwa.Waifungie tu Great Thinkers huwa hawasikilizi Clouds FM... alisikika mwanaJF mmoja akisema.
Punyeto ndio imewafungia.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.
TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hii ni adhabu ya 2 ndani ya mwezi huu kwa Clouds baada ya kipindi chake cha Jahazi kufungiwa siku chache zilizopita.
=====
The Tanzania Communication Regulatory Authority has on Thursday August 27 banned Clouds TV and Clouds FM for Seven days with immediate effect.
The authority said in a press conference today that the station has been banned after it announced election statistics that had not been approved by the National Electoral Commission.
On Wednesday NEC said the station had aired results that showed that certain Members of Parliament aspirants had sailed through unopposed after other contestants failed to meet nomination criteria in certain constituencies.
Earlier this month TCRA banned a radio programme (Jahazi) from the same station for allegedly promoting immorality in the society.
Zaidi, soma;
Uchaguzi 2020 - Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia
Habari inaponzwa na siasa na siasa zinaponza habari. Hivyo basi siasa na habari zina adui na rafiki mmoja. Kama habari na siasa hawataungana wataliwa mmoja baada ya mmoja kwa wakati wake, sawa na mama bata anavyoshangaa mwanae anapoliwa na kunguruMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.
TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hii ni adhabu ya 2 ndani ya mwezi huu kwa Clouds baada ya kipindi chake cha Jahazi kufungiwa siku chache zilizopita.
=====
The Tanzania Communication Regulatory Authority has on Thursday August 27 banned Clouds TV and Clouds FM for Seven days with immediate effect.
The authority said in a press conference today that the station has been banned after it announced election statistics that had not been approved by the National Electoral Commission.
On Wednesday NEC said the station had aired results that showed that certain Members of Parliament aspirants had sailed through unopposed after other contestants failed to meet nomination criteria in certain constituencies.
Earlier this month TCRA banned a radio programme (Jahazi) from the same station for allegedly promoting immorality in the society.
Zaidi, soma;
Uchaguzi 2020 - Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia
wamezidi na wale bwanan khaaaa...juzi tu mara waimize kujichua leo tena wale wafungiwe tu shenzi zaoKwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?
hasa power breakfast mmhhh akina fulani utadhani wanakula nn sijui dahRadio nyingi siku hizi zimekuwa kama vijiwe vya kupigia stories tu. Habari nyingi haziko edited, watu wanajiropokea tu, kwa nini ulimi usiteleze.
nec ndo wakutangaza matokeo sio chombo kingne jamani muelewe mambo haya....nchi ya kwetu sote sio ya clouds wala bb clouds hapa ..nchi ni pana kuliko station moja hiyoKazi kweli kweli. Haya ni mapambano ya kisiasa yaletayo chuki katika jamii.
shida ni kuwa juzi tu wamefungiwa kipind cha jahazi mambo ni hayahaya tu ..na kama ni msikilizaji wa kile kipindi kuna muda unaweza kujiuliza watu wanajua wanachoongea au ni nn hasa maana wanalopoka tuKosa nikutangaza matokeo bila tume kutangaza hafu mda wa rufaa ulikuwa bado kuisha. Hapo wamefanya kosa.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.
TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hii ni adhabu ya 2 ndani ya mwezi huu kwa Clouds baada ya kipindi chake cha Jahazi kufungiwa siku chache zilizopita.
=====
The Tanzania Communication Regulatory Authority has on Thursday August 27 banned Clouds TV and Clouds FM for Seven days with immediate effect.
The authority said in a press conference today that the station has been banned after it announced election statistics that had not been approved by the National Electoral Commission.
On Wednesday NEC said the station had aired results that showed that certain Members of Parliament aspirants had sailed through unopposed after other contestants failed to meet nomination criteria in certain constituencies.
Earlier this month TCRA banned a radio programme (Jahazi) from the same station for allegedly promoting immorality in the society.
Zaidi, soma;
Uchaguzi 2020 - Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia
Uteuzi ndo uliwachanganya wanatamani salute na v8 za bureWambea na wapambe sana Hasa wale wa 360, yaani hadi nimewachukia wote