Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds fm huwa wana watangazaji vilaza, na wakati mwingine huwa wanatoa taarifa zisizo na ukweli ila hawasahihishi.
Mfano

Fiesta ya mwaka jana November Clouds fm walitumia usafiri wa Treni kwenda Dodoma, cha ajabu mtangazaji Mamy Baby akasema wamepanda treni ya umeme kutoka Dar hadi Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa nikajiuliza hivi anaijua treni ya umeme inafananaje au ndio kisifia tu ili hali unapotosha umma.
 
Waifungie tu Great Thinkers huwa hawasikilizi Clouds FM... alisikika mwanaJF mmoja akisema.
Leo wameanza Clouds, kesho wanakuja radio yako pendwa.

I was never a fan.

Kwa upande mmoja TCRA wanaweza kuwa draconian.

Kwa upande mwingine, tumeona mauaji ya halaiki Rwanda yalivyochochewa na radio.
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.

TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hii ni adhabu ya 2 ndani ya mwezi huu kwa Clouds baada ya kipindi chake cha Jahazi kufungiwa siku chache zilizopita.

=====

The Tanzania Communication Regulatory Authority has on Thursday August 27 banned Clouds TV and Clouds FM for Seven days with immediate effect.

The authority said in a press conference today that the station has been banned after it announced election statistics that had not been approved by the National Electoral Commission.

On Wednesday NEC said the station had aired results that showed that certain Members of Parliament aspirants had sailed through unopposed after other contestants failed to meet nomination criteria in certain constituencies.

Earlier this month TCRA banned a radio programme (Jahazi) from the same station for allegedly promoting immorality in the society.

Zaidi, soma;

Uchaguzi 2020 - Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia

Punyeto ndio imewafungia.
Walihamasisha wanaume wapige punyeto na kuhifadhi mbegu kwenye chupa.
 
Radio nyingi siku hizi zimekuwa kama vijiwe vya kupigia stories tu. Habari nyingi haziko edited, watu wanajiropokea tu, kwa nini ulimi usiteleze.
 
Habari inaponzwa na siasa na siasa zinaponza habari. Hivyo basi siasa na habari zina adui na rafiki mmoja. Kama habari na siasa hawataungana wataliwa mmoja baada ya mmoja kwa wakati wake, sawa na mama bata anavyoshangaa mwanae anapoliwa na kunguru
 
Kwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?
wamezidi na wale bwanan khaaaa...juzi tu mara waimize kujichua leo tena wale wafungiwe tu shenzi zao
 
Radio nyingi siku hizi zimekuwa kama vijiwe vya kupigia stories tu. Habari nyingi haziko edited, watu wanajiropokea tu, kwa nini ulimi usiteleze.
hasa power breakfast mmhhh akina fulani utadhani wanakula nn sijui dah
 
wanakwmbia sikuhizi hakuna tena wanahabari sikuhizi kuna wanaochukua habari kwenye wasap biashara imeisha ...haya mambo ukiyaangalia hapa tu lakini sudan na misri mambo yalikuwa moto sana bwana
 
Kazi kweli kweli. Haya ni mapambano ya kisiasa yaletayo chuki katika jamii.
nec ndo wakutangaza matokeo sio chombo kingne jamani muelewe mambo haya....nchi ya kwetu sote sio ya clouds wala bb clouds hapa ..nchi ni pana kuliko station moja hiyo
 
Kosa nikutangaza matokeo bila tume kutangaza hafu mda wa rufaa ulikuwa bado kuisha. Hapo wamefanya kosa.
shida ni kuwa juzi tu wamefungiwa kipind cha jahazi mambo ni hayahaya tu ..na kama ni msikilizaji wa kile kipindi kuna muda unaweza kujiuliza watu wanajua wanachoongea au ni nn hasa maana wanalopoka tu
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi.

TCRA imesema kosa walilolifanya ni kutangaza takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hii ni adhabu ya 2 ndani ya mwezi huu kwa Clouds baada ya kipindi chake cha Jahazi kufungiwa siku chache zilizopita.

=====

The Tanzania Communication Regulatory Authority has on Thursday August 27 banned Clouds TV and Clouds FM for Seven days with immediate effect.

The authority said in a press conference today that the station has been banned after it announced election statistics that had not been approved by the National Electoral Commission.

On Wednesday NEC said the station had aired results that showed that certain Members of Parliament aspirants had sailed through unopposed after other contestants failed to meet nomination criteria in certain constituencies.

Earlier this month TCRA banned a radio programme (Jahazi) from the same station for allegedly promoting immorality in the society.

Zaidi, soma;

Uchaguzi 2020 - Tanzania: The National Elections Regulations(2020) - Mambo muhimu ya kuzingatia

Pale wote ni wafu kumtoa MASOUD KIPANYA.
Kwa hiyo acha wafu wazikane
 
Mbona Millard Ayo alitangaza majimbo na majina ya wagombea waliopita bila kupingwa, afu pia babu talle alijitangaza kwenye kurasa zake za kijamii kua yeye n mbunge kapita bila kupingwa.

Basi na hawa nao wachukuliwe hatua.
 
Back
Top Bottom