Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Clouds fm huwa wana watangazaji vilaza, na wakati mwingine huwa wanatoa taarifa zisizo na ukweli ila hawasahihishi.
Mfano
Fiesta ya mwaka jana November Clouds fm walitumia usafiri wa Treni kwenda Dodoma, cha ajabu mtangazaji Mamy Baby akasema wamepanda treni ya umeme kutoka Dar hadi Dodoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nikajiuliza hivi anaijua treni ya umeme inafananaje au ndio kisifia tu ili hali unapotosha umma.