CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Ukweli inasikitisha sana, nimesikia kitaa binti mmoja aliyepata ajira mpya za Samia alilazimika kutembea na baba mwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodi
 
Haya mambo tuliosoma Mlimani - Shule ya Msingi - UDSM na Chief Albert Luthuli (zamani Solomon Mahlangu) - SUA, hatujui mambo hayo.
 
Suluhu ni kuandamana tu wadai maslahi Yao
Kwan wewe inakuhusu Nini!?mbona wagogo wenzio husemi waandamane waache kuwa ombaomba!? Mimi naamini kabisa mshahara wakuanzia wa 700k sio haba tusidanganyane hapa!! Tena Kila baada ya muda wanapanda madaraja Yani baada ya muda anaenda E 900k+ sio Hela ndogo !!! Nina uhakika hao cloud hawapati hizo Hela!!
 
Hii kama iliundwa 23 Jan 2023 kutadhimini Hali mbaya ya vyombo vya habari IPO chini ya Tido mhando !! Waandishi wa Habari hawalipwi!??
 
Kwani wanalipwa sh. ngapi? anzieni hapo kubishana
 
Ee Mungu Baba asante kwa kuwabariki walimu kwa maisha mazuri na marefu yenye afya!
 
Clouds tumewasikia kuhusu mishahara ya walimu. Tuwekeeni scheme of service yenu tulinganishe na ya walimu halafu tuone kama hamtatawanyika kwa njia saba kwa ajili ya aibu!!
 
Asante shemeji yangu umerudi Mpwayungu in the house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…