Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Aah niwakilisheni tu, sijiskii vizuri😪 hivi kumbe wewe ni mwananchi pia?
Mie sio mwananchi wala sio mkia...nashangilia yoyote akishinda maana napata chance ya kuruka na warembo🤣🤣🤣🤣

Pole mrembo...nini mbaya?
 
Kule South Africa kulikuwa na baridi sans na kama unavyojua makao makuu ya Club ni dar na Dar nadhani unalijua joto lake

Sasa wakaona wakoke moto waotee kidogo ili kupata joto

Hawakua na nia mbaya
Mliaibika vibaya lakini
 
Mpaka muda huu tayari kuna nyuzi wameshazianzisha za kumkataa kocha wao Juma Mgunda! Hawa watu waache tu waitwe mbumbumbu.
Ha ha ha kuna mtu hapa mara utopolo, hapa tangu asubuhi YANGA haimtoki mdomoni sasa nimemjaza maji mdomoni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga wakishinda na kuwatoa waarabu sitashangaa

Club Africain nao wakishinda na kufanikiwa kuwatoa Yanga napo sitashangaa

Kwanini?

Kwasababu zote ni timu mbovu

Credit Miraji kutoka Shafii Dauda online TV
Why are you skipping this post?
 
Kabumbu
Prediction: CA 3-1 Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…