Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Uzi wa mbumbumbu fc na wanaocomment wote mbumbumbu.
Yanga haifungwi nje ndani ni mwiko.
 
Kazi unayo mwaka huu, Yanga inakaribia kuwa mabingwa sasa.
 
Yanga hii kombe ni letu tu hakuna namna Mwarabu lazima akae mbumbumbu pigeni kelele tu ila tutawafunga midomo kama Kawa!
Mayeleeeee!
 
Mungu sio Abdallah
 
Kipigo kipo ila tuombe kisiwe kikubwa. Kipepsi kikipigwa kisitoke na meno yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…