CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

Wazungu mbona tayari washagundua kinga kilichobaki ni sisi turuhusu majaribio yafanyike.
 
Asante kwa kutufariji mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndio hata mimi najiuliza. Kwasababu tangu tupate wagonjwa Africa rate ya kufa sio kama Wao walivyopata wagonjwa w akwanza
Subiri tuanze kupata cases kwanzia 500 au 1000 ndio tutaanza kukimbizana mbona maana hata USA ilianza kupata case nyingi ndio vifa vikawa vingi sisi africa bado ndio maana hata ummy mwalimu kasema tusubiri week mbili zijazo ndio tutajua uelekeo wetu ukoje ila kwasasa mapema sana cha muhimu kila mmoja asali kwa dhehebu yake na dini lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ilichukua muda gani kwa USA from case #1 hadi #100?
 
Kuna mzee wa miaka 94 americover kutoka kwenye maambukizi ya corona. Aliniambia anakwenda mazoezi ya tennis mara moja kwa wiki. Mazoezi yanasaidia kumbuka ugonjwa hauna dawa ni uwezo wa mwili kupambana ndiyo tiba.
 
Mheshimiwa havioni, anaona kawaida tu!
Mh wetu Jambazi tu
Hatua gani zichukuliwe na Serikali kuzuia kusambaa kwa kirusi cha ukimwi zaidi ya kila mtu kuzingatia ushauri wa wataalamu na maagizo ya Serikali?

Hakika ninyi mtaambukizwa na kufa iwapo jeuri na ukaidi wenu ni wa kusubiri Serikali itoe amri ya kutokutoka nyumbani.
 


Umeandika kirusi cha ukimwi.
 
Ndo hicho hicho tu. Hapa kama ulikuwa haujui kusali inabidi uanze kusali. Mungu aingilie kati. Maana Alveolis zikishambuliwa ujue kwa heri
Ventilator moja mpo mia moja mnahitaji. Mungu ingilia kati.
Una uhakika ventilator iko moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…