Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Nyerere alitukosea sana kuungana na nchi yenye kilomita za mraba 2000 wakati ana eneo la kilomita za mraba zaidi ya 900,000 ...

Anatuachia matatizo kuungana na watu kila siku kelele
 
Country code si issue. Itakuwa big deal pale ukisikia Zanzibar imeanzisha jeshi lake, polisi wake ,wizara yake ya nchi za nje na imeanza kutumia sarafu yake.
Mbona hvyo vyote tayari mkuu,
Kuna rais
Bendera ya taifa
Balaza la wawakilishi
Judge mkuu
Jeshi na polis pia
Isipokua pesa tu
 
Nyerere alitukosea sana kuungana na nchi yenye kilomita za mraba 2000 wakati ana eneo la kilomita za mraba zaidi ya 900,000 ...

Anatuachia matatizo kuungana na watu kila siku kelele
Hilo ni somo mkuu, hata ww kama mzazi jitahidi maamuzi yako unayofanya usijiangalie ww, angalia na vizazi vijavyo.
 
Siwezi Kusoma hivyo vifungu, Ila subiri siku kesi ikirudishwa ZNZ ndiyo ulete hivyo vifungu. Nitakukumbusha
Bado inaendelea mahakama kuu kwa charge mpya sasa sijui irudi huko kufanya nini??
 

Aliyenacho anaongezewa...si busara kutenda mambo kama sote tuna akili ndogo ndogo zisizo na msaada
 
Bora wabaki na ka nchi kao.
Zanzibar yenye ukubwa sawa na wilaya ya Rufiji wamezeza mpaka kumweka Rais madarakani huku Tanganyika, huku Tanganyika tumeshindwa hata kumweka Mwenyekiti wa mtaa mwembe togwa kule Zanzibar.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Zanzibar halisi ilikuwa ni serkali ya Muungano wa Oman na Zanzibar, ikawa Zanzibar was the richer brother (shauri ya watumwa na meno ya tembo, Muscat ilikuwa na tende tu). Ilikuwa ni Muungano wa serikali 2 siyo 3.
Hii paukwa pakawa umehadithiwa na nani?

Zanzibar haikuwa na Serikali yake na Oman kuwa na Serikali. Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman baada ya Oman kutawala Zanzibar.
Zanzibar ndio ikawa Mji mkuu wa nchi iitwayo Oman, sio Muscat. Sasa ukisema kuwa eti serikali mbili utwambia Mfalme wa Zanzibar alikuwa na nani na Oman alikuwa nani?

And by the way, baada ya Seyyid Said kufariki, kukatokea mzozo baina ya ndugu, ndipo rasmi Zanzibar na Oman zikatengana na kila moja kuwa nchi kivyake pasipo na Muungano.

Basic History hii ungefanya tour kwenye yale majengo ya kifalme apa Zanzibar ungehadithiwa same story kutoka kwa "wanamapinduzi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…