UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kabla ya kujibu swali, nijikite kwenye tuhuma kwamba sijajibu hili swali.
Kutonibu maswali kiko katika himaya yako. Hii si tabia yangu. Ni tabia yako.
Hujajibu swali la kuthibitisha uwepo wa mungu. Hujajibu swali la kqa nini mungu mwenye uwezo wote na ujuzi wite kaumba ulimwengu ambao unaruhusu mabaya kuwepo wakati aloweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwepo?
Umeuliza wapi hili swali lako la mwanasiasa nikashindwa kulijibu, naomba utoe link hapa.
Kama unakumbuka mwanzo ulisema huyo mwanasiasa kwa kutotimiza ahadi ulisema ni kujipinga,mie nikakuuliza kutotimiza ahadi ni kujpinga au ni uongo?toka hapo haukujibu hilo swali.
Nami naomba jibu sasa.