Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Burundi na Drc wameruhisiwa na Drc kuendesha hizo operation, hata Rwanda ingetumia diplomasia huenda ingeruhusiwa kuliko njia iliyotumia ya kuunda na kufadhili uasi.
 
Wanaona kama hawastahili kurudi kwao na washakua watu wazima
 
Hawa jamaa kinachowafanya kuwa wa makabila tofauti nini?......

Lugha moja....mfumo wa utawala toka zama mmoja....dini za tamaduni moja....tofauti tu muonekano na mmoja mfugaji mwingine mkulima.
Watutsi ni watu wa ethiopia huko,wahutu wabantu,leo msukuma,mluguru na mmafia kuongea kiswahili hakuwafanyi kuwa kabila moja
 
Burundi na Drc wameruhisiwa na Drc kuendesha hizo operation, hata Rwanda ingetumia diplomasia huenda ingeruhusiwa kuliko njia iliyotumia ya kuunda na kufadhili uasi.
Wakongo wanatakiwa kumshukuru Kagame kuwakomboa dhidi ya Mobutu badala ya kumlaumu kila siku.
 
Kawaida tu hata wa Tz wameuawa congo
 
Akina nani wamerudi?.. kagame kilimuudhi nini alipoambiwa na jakaya fdlr aongee nao warudi?
Kweni FLDR ni Wahutu pekee wanaoishi Mashariki ya Kongo wengi walirudi sema hawa wao wanataka kurudi kwa nguvu.
 
Wakongo wanatakiwa kumshukuru Kagame kuwakomboa dhidi ya Mobutu badala ya kumlaumu kila siku.

..Ni kweli hayo?

..Mbona hali ya amani na usalama DRC sasa hivi ni mbaya kuliko wakati wa Mobutu?

..Wacongo wengi wamepoteza maisha baada ya Mobutu kuondoka, kuliko alipokuwa madarakani.
 
..Ni kweli hayo?

..Mbona hali ya amani na usalama DRC sasa hivi ni mbaya kuliko wakati wa Mobutu?

..Wacongo wengi wamepoteza maisha baada ya Mobutu kuondoka, kuliko alipokuwa madarakani.
Mobutu alikuwa hata kulipa mishahara kwa Wanajeshi na Watumishi wa umma alikuwa halipi anawaambia wachukue kwa wananchi Mobutu ndio aliyeliuwa Jeshi la Kongo halijaamka mpaka leo.

Kagame alipowasaidia baada akina Kabila snr wakamgeuka na kusaidia kuasisi fldr.

Kagame sasa hivi anasaidia Msumbiji dhidi ya Magaidi wa Kiislamu na Msumbiji sasa huwaambii kitu kuhusu Kagame.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
..kipindi Mobutu yuko madarakani Wacongo wangapi walikufa?

..tangu Mobutu ameondoshwa Wacongo wangapi wamekufa?

..Numbers dont lie.

..Kabila Snr alianza kushirikiana na Fdlr baada ya Gen.Kaberebe toka Rwanda kujaribu kumpindua.

..Napongeza kazi iliyofanywa na askari wa Rwanda kurejesha amani Cabo Delgado Msumbiji.
 
Kagame ni muongo, once a killer always a kiler. His time is up, both he and his family do not deserve to live. They need to be wiped out immediately.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…