Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Hii habari ni kama ina walakini au ni uongo moja kwa moja.Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?
Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?
Sitaki kuamini kama iko hivyo.
ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera...Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.
View attachment 1756511
View attachment 1756512
View attachment 1756513
kuna bima italipa, always cash lazima ikatiwe bimaNgoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?
Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?
Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hii habari ni kama ina walakini au ni uongo moja kwa moja.
Usishangae ofisi watupe majina ya Watanzania waliopo katika iyo ofisi!Duh, hiyo ofisi sasa!
1. Hapo hakuna mwwizi aliyetoka nje ya wahusikaATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2020 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera...Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la Ndege la Tanzania wameucheza mchezo huo na hii ni mara ya pili.
View attachment 1756511
View attachment 1756512
View attachment 1756513
Picha inaweza isiendene na kilichoandikwa. Hizo fedha itakuwa ujinga wa mwaka kuziacha ofisini tena cash. (kumbuka mimi sibishi kwani Bongo kitu cha kijinga ambacho unadhani hakiwezekani, kinawezekana. Yangu ni mashakla tu)UONGO NA PICHA UNAZIONA?
Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?
Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?
Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Hizo bilioni 2.2 jumlisha na zile bilioni 60 hasara ya kila mwaka unapata hasara ya mwaka huu.Ngoja kwanza
Comoro Franc 1 ni TZS 5.64
Maana yake Comoro Franc 400,000,000 ni TZS 2,256,000,000 yaani Bilioni mbili milioni mia mbili hamsini na sita zote zinawekwa ofisini?
Kwani huko Comoro ATCL inapokea pesa taslimu na hawapeleki banki?
Sitaki kuamini kama iko hivyo.
Tungejua nauli ya kwenda comoro ni kiasi gani, kuna route ngapi kwa wiki na wastani wa pax tungeweza guess ni pesa za muda gani (japo kuna cargo pia) lakini nafikiri zilikua humo zaidi ya mwezi mmoja. Hamna bank comoro siku hizi? Si exim ya hapa tz wana branch kule?Ngoja kwanza