Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

Hiyo ofisi tu hata ndala zangu siweki.
 
Afrika ina vituko sana. Ofisi ya ATCL yenye Billioni ndani imekaa kama ofisi ya mjumbe wa nyumba kumi Tz
 
Afrika ina vituko sana. Ofisi ya ATCL yenye Billioni ndani imekaa kama ofisi ya mjumbe wa nyumba kumi Tz
Hakuna ambae hashangai hawa ni mawakala wa ATCL pale Moroni wenyeji kama unvyowasikia wanawajua kwamba ni genge la matapeli pale Moroni najiuliza hivi Watanzania tuna tatizo gani nani katuloga KATIKA HILI LAZIMA NISEME NI HUJUMA YA WAZI NA WATANZANIA WANAHUSIKA
 
Huo ni mpango uliotengenezwa na uongozi wa ATCL.
Haiingii akilini kwamba hela nyingi kiasi hicho zinawekwa kwenye kasiki ofisini badala ya hela kuwekwa benki.Ufisadi bado unaendelea kwa kasi.
Serikali iangalie hili kwa jicho

Umeambiwa tumelishwa matango na wewe unademka. Pesa iliyokuwa kwenye sefu ni sawa na milioni 7 za Tanzania mauzo ya jumamosi. Angalia Azam TV
 
Wameiba wenyewe, watz siyo wajinga
 
Fedha zilichukuliwa Ijumaa saa tisa alasiri, ofisi ikavunjwa Jumapili alfajiri. "Usimwamini binadamu"- Babu
 
Duh kumbe ndio mtindo huo wa uharifu uliojikita mizizi kwenye kisiwa na hakuna namna bora ya kufuatilia siku kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…