saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Samia amekosea sana kumteua huyu bwanamdogo. Ni uchonganishi na katibu mkuu. Makonda itakuwa vigumu sana kufanya kazi na katibu mkuu Chongolo, kwanza Makonda hana adabu, pili Makonda alishakuwa bosi wa Chongolo na kipindi alionekana kumnyanyasa Chongolo hadharani. Hivi huyu mama nani kamshauri? Basi huyo hana nia njem naye.CCM hasa walamba asali, piganieni katiba mpya sasa, madaraka ya rais yapunguzwe, nyakati hazitabiriki, lolote linaweza kutokea.
Au ni nani aliyewaza kuwa Makonda angekuwa Mwenezi zama hizi?