Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa
Vyeti kitu gani wewe, kwani Raisi hajawaona wenye PhD?.....Acha kijana awanyooshe 😆
images (15).jpeg
images (13).jpeg

Anamnyoosha nani huyo jambazi na muuaji?

Samia kaamua kufanya kazi na jambazi na muuaji hivyo hana tofauti na mtangulizi wake.

Labda useme anaua ila sio kunyoosha watu huyu kilaza.

When it comes to intellectual merits , it is where we draw the line..
 
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

Neno comrade linatumika vibaya sana
 
Wewe ndio idiot. Unadai vyeti vya Makonda vya Mbowe hutaki kuonesha. Pumbavu! Basi onesha vya babaako! Shenzitaipu!
Your IQ is very low!

I'll no longer engage with a blabbering primitive simpleton and an academic dwarf.

As I can see you can't only read but also sylloge and fathom.
 
Wote tunakumbuka Tundu Antipas Lisu alipofika Chato aliomba kwenda kupata baraka za Shujaa Magufuli kaburini Kwake na kunena naye machache pale kaburini Kwake

Sasa Mwenezi wa CCM komredi Makonda naye ametimba Chato kupata baraka za Shujaa kabla hatujaingia kwenye heka heka za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Shujaa Magufuli ni kama Maji utayatumia tu 😂😂
Hii imeenda, hii imeeeeendaaaa 🤣🤣🤣
 
Your IQ is very low!

I'll no longer engage with a blabbering primitive simpleton and an academic dwarf.

As I can see you can't only read but also sylloge and fathom.
Sindano imekuingia hasa mpaka ukatoa povu! Pumbavu! Tena usirudie! Nyambafu!
 
Back
Top Bottom