Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa
usituletee mambo ya ibada za kishetani za kuabudu wafu. Yule ni mfu tayari hana la kusikia, hata hivyo yeye ni nani nchi hii, hii nchi si boma lake, hii ni nchi ya watanzania, yeye alikuwa mtumishi tu. Acheni uzezeta.
Asante sana kwa masahihisho mazuri.
 
Hapo mama amebugi, huyu bwanamdogo ni kiongozi wa maonesho, siyo mtu wa kazi. Haya ni mapokezi ya nini, mbona sikuona upuuzi huu kwa wenzake waliomtangulia? Sikuona kwa Shaka Hamdu Shaka, sikuona kwa Sophia Mjema, yeye ana tofauti gani na waliomtangulia? Tofauti ninayoiona mimi ni kwamba Makonda halina akili, ana IQ ndogo sana. Hapa mwenyekiti ameiangusha chama.
wivu wa nini jinyonge basi kikaragosi wewe
 
Samia amekosea sana kumteua huyu bwanamdogo. Ni uchonganishi na katibu mkuu. Makonda itakuwa vigumu sana kufanya kazi na katibu mkuu Chongolo, kwanza Makonda hana adabu, pili Makonda alishakuwa bosi wa Chongolo na kipindi alionekana kumnyanyasa Chongolo hadharani. Hivi huyu mama nani kamshauri? Basi huyo hana nia njem naye.
kunywa sumu wewe msengerema na huyo ni Rais wako kama hutaki kufa mbweha wewe
 
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

Kwa kweli hongereni Kwa kutushika masikio na ujinga, Mungu ni mwema maana watoto wetu walifaulu vyema lakini mpaka leo wiki ya tatu wanasoma lakini hawajapata mkopo wa boom wala ada na walishipanga vyumba. CCM hoyeeee kura kwetu na kula kwetu, tupo tumekaa kule. Nimeongea ya moyoni, najua nyie mambo mukedi, haya hayawa
 
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

Rubbish..
 
Kwanini wananchi wasijitokeze kumsikiliza ndugu yetu aliyeteuliwa kuwa Mwenezi wa chama? Anatoka Kanda ya ziwa , kutojutokeza nikushindwa kuthamini nafasi tuliyopewa. Viongozi wa chama hakuna , wananchi hakuna, msafara mmemwachia mwenyewe ; hii hali siyo sawa tuondoeni makundi.

Alisikika mkereketwa mmoja akilalamika katika soko la samaki Mwanza.
 
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.

---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023.

Mikoa inayoletewa salamu za upendo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Simiyu na Mara.

Makonda atatembelea pia kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Dkt. John Pombe Magufuli.

Comrade makonda,hongera Kwa kazi nzuri,ufikapo Jimbo la musoma mjini nategemea utakuta changamoto nyingi Kwa wananchi na wakazi wake,miradi mingi haitekelezwi LICHA ya pesa nyingi kutolewa na serikali; Kuna upigaji wa KUTISHA wa KUTISHA wa pesa za serikali,miradi ya ujenzi stendi kuu ya kisasa,manispaa haina soko kuu la kisasa,ujenzi wa barabara za mitaa na ufungaji wa taa za barabarani,mf barabaran ya mjini kwenda makoko,mradi wa kufufua bandari ya musoma(Ilikua inatuunga kibiashara kati ya nchi za maziwa makuu yaani Kenya na Uganda,TUNAOMBA UFANYE KITU COMRADE
 
Back
Top Bottom