CCM hasa walamba asali, piganieni katiba mpya sasa, madaraka ya rais yapunguzwe, nyakati hazitabiriki, lolote linaweza kutokea.

Au ni nani aliyewaza kuwa Makonda angekuwa Mwenezi zama hizi?
Samia amekosea sana kumteua huyu bwanamdogo. Ni uchonganishi na katibu mkuu. Makonda itakuwa vigumu sana kufanya kazi na katibu mkuu Chongolo, kwanza Makonda hana adabu, pili Makonda alishakuwa bosi wa Chongolo na kipindi alionekana kumnyanyasa Chongolo hadharani. Hivi huyu mama nani kamshauri? Basi huyo hana nia njem naye.
 
Hivi
Wakurugenzi watendaji na Makatibu tawala wa mikoa , mwandalieni posho ya 1,000,000 na chawa alioambatana nao wapatieni 100,000 ili asilopoke.
Hivi ndivyo mnavyomnyamazisha mbowe na wahuni wenzake?
 
Bendera mfuata upepo.
 
Alishauliwa na walamba asali machawa wake.
 
Watajuana Wao!!Kila MTU ateleze kivyake
 
🤣😂vp atafikia kwenye lile lihotel letu chakavu pale barabarani au ataingia ikulu?
 
Mzaha mzaha, Makonda anateuliwa kugombea urais, hakika walamba asali wataitapika. Usalama wao wapiganie katiba mpya ipatikane mapema, vinginevyo ubatizo wa pili utakuwa wa moto kuliko wa kwanza.
Hakuna aijuae kesho, wenye nafasi wajenge mstakabali bora kwetu sote kupitia katiba mpya.
 
Msipojitathmini Makonda atakuwa Maarufu kuliko Wanaccm wote ndani ya Muda mfupi sana!
 
Ameenda kufukia mashimo baada ya TAL kukichafua kanda ya ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…