usituletee mambo ya ibada za kishetani za kuabudu wafu. Yule ni mfu tayari hana la kusikia, hata hivyo yeye ni nani nchi hii, hii nchi si boma lake, hii ni nchi ya watanzania, yeye alikuwa mtumishi tu. Acheni uzezeta.
Asante sana kwa masahihisho mazuri.
 
wivu wa nini jinyonge basi kikaragosi wewe
 
kunywa sumu wewe msengerema na huyo ni Rais wako kama hutaki kufa mbweha wewe
 
Kwa kweli hongereni Kwa kutushika masikio na ujinga, Mungu ni mwema maana watoto wetu walifaulu vyema lakini mpaka leo wiki ya tatu wanasoma lakini hawajapata mkopo wa boom wala ada na walishipanga vyumba. CCM hoyeeee kura kwetu na kula kwetu, tupo tumekaa kule. Nimeongea ya moyoni, najua nyie mambo mukedi, haya hayawa
 
Rubbish..
 
Makonda safiiiiii

Chapa KAZI Baba usiogope chochote na Mungu akuwekee ulinzi wake
 
Kwanini wananchi wasijitokeze kumsikiliza ndugu yetu aliyeteuliwa kuwa Mwenezi wa chama? Anatoka Kanda ya ziwa , kutojutokeza nikushindwa kuthamini nafasi tuliyopewa. Viongozi wa chama hakuna , wananchi hakuna, msafara mmemwachia mwenyewe ; hii hali siyo sawa tuondoeni makundi.

Alisikika mkereketwa mmoja akilalamika katika soko la samaki Mwanza.
 
Comrade makonda,hongera Kwa kazi nzuri,ufikapo Jimbo la musoma mjini nategemea utakuta changamoto nyingi Kwa wananchi na wakazi wake,miradi mingi haitekelezwi LICHA ya pesa nyingi kutolewa na serikali; Kuna upigaji wa KUTISHA wa KUTISHA wa pesa za serikali,miradi ya ujenzi stendi kuu ya kisasa,manispaa haina soko kuu la kisasa,ujenzi wa barabara za mitaa na ufungaji wa taa za barabarani,mf barabaran ya mjini kwenda makoko,mradi wa kufufua bandari ya musoma(Ilikua inatuunga kibiashara kati ya nchi za maziwa makuu yaani Kenya na Uganda,TUNAOMBA UFANYE KITU COMRADE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…