Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

ijumaa Baraza La Mawaziri Lilikaa Chamwino, Leo Waraka Umesomwa Naamini Utasomwa Mpaka Ambako Gazeti Halifiki. Mwamakula Naye Anasema Wambura, Chalamila Na Wengine Wa Aina Hiyo Kama Ni Wakatoliki Na Leo Walikwenda Kanisa Walisomewa


Utulivu Muhimu Sana Jambo Hili Na Kaa La Moto
 

Sasa huyo ameongea nini? Kitu gani kinachochewa kwa huyo kuongea?
Umeona popote Waraka wa Maaskofu ukimtaja Sheikhe yeyote au ukitaja dini ya mtu?
Walaka mzima, hatua kwa hatua unaongelea substantive issues, halafu ninyi mnakuja na papatu-papatu zenu zisizo na kichwa wala miguu.
Sasa kama huyo uliyemleta hapo ameongea kitu gani close to Walaka wa Maaskofu? Msipende kuwapa watu uzito wasio nao.
 
Natamani moja ya agenda ya hiyo fictitious press briefing ya presidaaaa kesho iwe ni kulifutia RC usajili.
Nitafurahije kuwaona RC wote tunaunga
It doesn't even resemble a daydream
 
Nimeshindwaje kujibu hoja mkuu? Mm nimemjibu huyo alo Sema kua, tamko la TEC halita badili kitu

Ndo nikamjibu mauaji ya kimbali dini ilihusika pakubwa, dini Ina unganisha watu dini ni imani kiongozi wa dini akitamka neno tunaamini linatoka kwa Mungu.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sawa lakini hili tamko linahusika vipi,
 
Nimesali Parokiani Ilonga, Kilosa mkoani Morogoro. Waraka umesomwa wote.

Bila kujali kama mtu anaunga mkono au anapinga DP World kupewa bandari, kiukweli waraka umewasaidia sana walei kuzielewa vizuri issues zenye utata katika hili jambo la DP World na bandari zetu.

Asante TEC kwa kutoa elimu.
 
Wakuu Natanguliza salamu , baada ya kuwasabahi naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Jana iliagizwa kwamba ndani ya Makanisa yote na Parokia zote za kanisa Katoliki leo Jumapili , waumini wasomewe Waraka wa Maaskofu wa kupinga DP WORLD kupewa Bandari za Tanganyika .

Naweza kuthibitisha kwamba hawa watu ni Waaminifu sana ! WARAKA HUO UMESOMWA BILA HATA KUPUNGUZA NENO .

View attachment 2722618
Huu moto waliouwasha mafisi wa CCM watajuta kuuwasha. Ndio kwanza moto unachochewa na kumwagiwa petroli.

CCM ni sawa na mbwa aliyeiba mfupa wa nyama na kutimka nao.....ukimkazia huyo mbwa lazima tu ateme mfupa. Uamuzi ni wao.....ama wateme mfupa wapone au wafe nao.
 
Huo ni Waraka au santuri?
artworks-000570184118-uk5oyb-t500x500.jpg
 

Sasa unaniletea mimi habari za huyo Kigogo anayeandika vitu ambavyo ukweli wake anaujua ila anaandika for the sake yenu nyie mnaopenda kupumbazwa?

Hakukua popote na matamko ya Mapadre katika umoja wao wakihalalisha mauaji ya Rwanda. Tena nikutaarifu tu kwamba si mapadre pekee, bali na masister pia.
Mapadre mmoja mmoja tena wachache wasiofika hata 6 ndiyo walihusika na ipo wazi walihusika sababu sababu walibebwa na hisia za ukabila.

Tofauti na mnavyotaka jamii iwachukulie Wakatoliki katika hilo, Wanyarwanda wana lawama kwa mapadre hao wachache na si kwa Kanisa zima. Zaidi Wakatoliki mdiyo wengi zaidi nchini Rwanda tofauti na mnavyohubiriana huku na akina Kigogo wenu.
Kanisa Katoliki likilaumiwa kwa mauaji ya Rwanda linalaumiwa kwa kutochukua hatua ya kukemea serikali kwa yaliyokuwa yanaendelea.
Sasa Mlivyo wapungufu wa akili na uwezo mdogo wa kufuatilia Mambo, kanisa Katoliki Tanzania likichukua hatua ya kuikemea serikali mnasema wanaingilia siasa, mara wanaleta Chokochoko. Mlitaka likae Kimya kama Rwanda ili yatokee ya Rwanda?

Kanisa limetoa tamko lake, ninyi na hao mnao watengeneza kushambulia Kanisa, ndiyo mnaolazimisha ya Rwanda, ingawa sahauni kwamba yatatokea hapa. Kumbafu kabisa nyie.

Jisomee hapo👇

 
Academic estimates around 90 000 000–1.2 billion people have died as the result of Islam and it’s continuous war of religious expansion since the 7th century to the current day across three continents. That’s 1400 years of a single religion being at war with all other faiths and peoples.
Mi sio mwislamu wala muabudu sanamu
 
Back
Top Bottom