This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Ni kazi kujuelimisha au ki argue na wewe sababu inaonyesha uelewa wako wa Mambo Ni mdogo.Afu ikishasomwa ndo nini kitatokea?
Kama waraka unasomwa kwa mamilioni ya watu TZ nzima ukawaamsha hata ambao walikuwa hawajui Nini kinaendelea na bado huoni impact yake Basi ww una tatizo.
Impact siyo kwa huo mkataba tu Bali lazima ufikiri kwa mapana yake juu ya athari za kisiasa na kijamii kwa siku za mbeleni.
Nb: Dalili njema Ni Kwamba watu wameshachoka na Sasa wanahoji. Kwasababu Samia na genge lake wanafanya haya kwa sababu walishazoea Kwamba watz Ni watu wa upepo na kusahau.