Congo DR ni sehemu ambayo hata shetani hujiuliza mara mbili kwenda

Kwa African French Speaking countries hayo ni mambo ya kawaida kwa askari mipakani
Nadhani mpaka ule umeathiriwa na mgogoro wa kisiasa kati ya DRC na Rwanda. Anaeingia DRC akitokea Rwanda mbali na malori anachukuliwa kwenye mtazamo wa kiharifu kwanza hadi uthibitisho kinyume utakapo bainika.
 
Watanzania tunahitaji la kuwa na visa ya kuingilia DRC, ingawa upo uwezekano wa kuipata pale mpakani kwa kulipa dollar mia, nilichokiona pale kila afisa ni mbabe, lugha inayotumika ni kama ile ya waharifu kituo cha polisi.
Suala la visa linashughulikiwa ,hiyo lugha ni kawaida tu
 
Nadhani mpaka ule umeathiriwa na mgogoro wa kisiasa kati ya DRC na Rwanda. Anaeingia DRC akitokea Rwanda mbali na malori anachukuliwa kwenye mtazamo wa kiharifu kwanza hadi uthibitisho kinyume utakapo bainika.
Mpka upi huo ?
 
Congo mbali huko mbona Tanzania pana mambo ya hovyo na tumejaaliwa kila kitu...
 
hivi unafikiri nani mpumbavu zaidi kati ya mamako na babako, siyo kwa upuuzi huu. Bandari, bandari, bandari, ukiulizwa vizuri hata hujui maana ya bandari umekuwa zuzu,
Wewe Choko umenifuata na huku? Kama hujui maana ya umuhimu wa bandari mlaumu mama yako kwa kukuzalia baa na kuishia kuchunga mbuzi baada ya kutelekezwa na baba yako, kumbafu wewe
 
Naona umeandika kwa uchungu sana japo umeandika kwa upande mmoja tu wa Kongo...
Ila ujue kuna watz wengi kule tena wakawaida tu na wengi wamepatia maisha.
Kuna washikaji wanasafirisha mazao na bidhaa nyingine kwenda kongo na kurudi na bidhaa zingine vikiwemo vitenge na wapo vizuri.
Ila ni ukweli Nchi haijatulia ila ujue sio yote yenye hayo matatizo ya Unyama!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…