Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

Mkuu unatafuta kipigo, maana ninyi watusi mnatafuta kisago.
Kama mnafikiri mna mshipa, geuzeni M23, njoo Ngara tuanze mziki.
Ukimya si udhaifu, na huyo bwana anayewa host anajulikana.
Rwanda washaanza kutumia mpaka silaha mpya za kivita kama drones na air defence system.Nyie mmekalia PROPAGANDA za enzi ya IDD AMIN ambapo kwa sasa mambo yamebadilika sana.Proxy wars ndio kila kitu mmejipangaje wazee😄😄
 
⤵Binafsi Nafurahi Tshekedi afurushwe kwani huyu ndiyo alikuwa amekazia sana ujenzi wa reli kufikia lobito harbour, Zambia - drc - lobito, mradi ule kwetu na mbaya Sana na adui, nadhani utajifia wenyewe!, °°°°Kila jambo linalotokea lina plan yake!, mimi nahitaji nchi yangu ipate mizigo mingi zaidi
 
..eneo lenye matatizo na lisilotawalika ni Mashariki ya DRC.

..Na eneo hilo limeanza kuwa na matatizo baada ya Museveni na Kagame kuingia madarakani.

..Mobutu alikuwa mtawala mbovu, fisadi, muuwaji, lakini hakusababisha mauaji kama waliyosababisha Kagame, na Museveni.

..bila Kagame na Museveni kuacha kufadhili waasi wa Congo, msitegemee kama nchi hiyo itatawalika.

..Hakuna nchi iliyosimama huku majirani zake wanahifadhi na kufadhili waasi.
 
SGR haifiki Congo hivi sasa na tayari inalipa. SGR priority ni TZ huko kwingine ni ziada tu sio lazima. Jiulize Congo isingekuwepo TZ isingejenga SGR?

Nini kinafanya M23 wachague Mombasa over DSM? Kenya wamepeleka jeshi lao hadi M23 wapitishe mizigo Mombasa?

Biasahara ni ushindani Congo inaweza tumia port ya Beira, Luanda, DSM au Mombasa, Lobito au wakajenga ya kwao wenyewe wakiamua. Hatuhitaji kuingilia internal affairs zao. Utawaingilia hadi lini? Kubwa jinga toka uhuru unamuacha ajifunze the hard way.
 
Rwanda washaanza kutumia mpaka silaha mpya za kivita kama drones na air defence system.Nyie mmekalia PROPAGANDA za enzi ya IDD AMIN ambapo kwa sasa mambo yamebadilika sana.Proxy wars ndio kila kitu mmejipangaje wazee😄😄
Tanzania inaangalia biashara zaidi, Rwanda inaangalia biashara zaidi,
 
..Sgr toka Mombasa - Uganda - Rwanda - DRC ni tishio kubwa zaidi kwa Tanzania kuliko reli inayotoka Lobito.

..pia tayari kuna reli toka Lobito kwenda DRC kwa hiyo tujizatiti katika kushindana kibiashara na sio kivita.
 
Duh!!! Sijui nianzie wapi ila nakusamehe bure ikikupendeza niko chini ya miguu yako naomba ufute hii COMMENT.Unaliaibisha taifa.

Hii yote ni kwasababu ya cheap PROPAGANDA NA KUPIKA DATA ndo imetufikisha hapa.Wewe umemezeshwa uongo na wewe ukauamini
😬😬😬😬
 
Hizo ni cheap excuses. Congo ijenge uwezo wa kujilinda na kujiendesha kama haiwezi igawanye nchi.

Idd Amin alipoitishia TZ Nyerere alimfanya nini? Alitoa cheap excuses kama hizo? Congo akiendelea kuwa kubwa jinga kila siku analalamikia wengine tu na kutaka wengine wamsaidie ataendelea kulia miaka yote.
 
Tanzania inaangalia biashara zaidi, Rwanda inaangalia biashara zaidi,
Kuna biashara gani tunafanya ambayo Rwanda hawezi kufanya.Yaani kinchi kama mkoa wa Moro kinashindana na ligiant kama Tz😂😂😂😂ilitakiwa Rwanda ishindane na Uganda au burundi.Land locked country inatutoa kamasi na bado mnajitutumua kuvimba😵‍💫😵‍💫😵‍💫😵‍💫
 
Sema wewe ukweli maana hii nchi kila mtu ana ukweli wake source "trust me bro".
 
Kweli DRC hawana akili kabisaaaa.
 
Akafanye nini kwa wajinga,acha wauane maana wao ubaguzi ndiyo mtaji wao.
 
Vita ya Uganda Tz ilibebwa sana kiinteligencia na USA na UK.Hili lipo wazi na halisemwi😄😄😄Ile habari ya kudaka misaada ya Gadafi kwenda kwa Amini hiyo sio akili za mtu mweusi bhana hiyo tunajua🤗🤗🤗

Sasaivi mtapigwa kama ngoma mkisema muingie mtu bee🤣🤣🤣
 
..Sgr toka Mombasa - Uganda - Rwanda - DRC ni tishio kubwa zaidi kwa Tanzania kuliko reli inayotoka Lobito.

..pia tayari kuna reli toka Lobito kwenda DRC kwa hiyo tujizatiti katika kushindana kibiashara na sio kivita.
Jiografia ya Kongo inalazimisha kutumia bandari zote, pia ni ghali mno kwa Meli kutoka China kwenda lobito, cost zake zinakuwa juu mno.
 
Sema wewe ukweli maana hii nchi kila mtu ana ukweli wake source "trust me bro".
Nenda kasome maazimio ya ujenzi wa SGR utapata kila kitu tatu ndugu za wa kitanzania hampendi kusoma.Someni mpate maarifa.Kuja kuleta ubishani hapa na fact za kwenye vijiwe vya gahawa ni aibu ujue😀
 
Halisemwi ila wewe unalijua? Unaweza tupa a credible source au ndo yale yale "trust me bro"?

Kama tulipewa msaada then kwanini wasitupe na hivi sasa?
 
Nenda kasome maazimio ya ujenzi wa SGR utapata kila kitu tatu ndugu za wa kitanzania hampendi kusoma.Someni mpate maarifa.Kuja kuleta ubishani hapa na fact za kwenye vijiwe vya gahawa ni aibu ujue😀

Tayari tumesoma ndo maana tunajibu kwa hoja hapa. Tatizo ni kudhani umesoma peke yako tu.

Congo isingekuwepo TZ isingejenga SGR? y/n
 
..Sgr toka Mombasa - Uganda - Rwanda - DRC ni tishio kubwa zaidi kwa Tanzania kuliko reli inayotoka Lobito.

..pia tayari kuna reli toka Lobito kwenda DRC kwa hiyo tujizatiti katika kushindana kibiashara na sio kivita.
Ebu waeleze hawa wadanganyika wametopea kwenye PROPAGANDA vibaya sana😀😀😀.Watu wapewe passport watoke nje wakatoe tongotongo.Unakuta mtu anabisha mpaka mshipa wa kichwa unamsimami na anabishia vitu ambavyo hajawahi hata kuvuka mpaka🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣inchi ngumu hii walahi!!!
 
Rwanda washaanza kutumia mpaka silaha mpya za kivita kama drones na air defence system.Nyie mmekalia PROPAGANDA za enzi ya IDD AMIN ambapo kwa sasa mambo yamebadilika sana.Proxy wars ndio kila kitu mmejipangaje wazee😄😄
Wewe unafikiri kuonyesha kisu chako hadharani ni ujanja?
Niambie vita ambayo drones zimeteka nchi!
Urusi yenyewe inapigana man to man kuteka maeneo Ukraine.
Principles za vita, kama hujui, hazijawahi kubadilika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…