Congo DRC, imekuwa kubwa jinga, Tanzania tusijiingize!

Halisemwi ila wewe unalijua? Unaweza tupa a credible source au ndo yale yale "trust me bro"?

Kama tulipewa msaada then kwanini wasitupe na hivi sasa?
Wawe ni mweupe sana.Mambo na mada za saizi yako ni vijiwe vya kahawa na tangawizi.

Mtu usiyejua lengo la TRENI YA SGR unataka tudiscuss mambo makubwa ya kimedani kama haya utayaweza kweli???
 
Wewe unafikiri kuonyesha kisu chako hadharani ni ujanja?
Niambie vita ambayo drones zimeteka nchi!
Urusi yenyewe inapigana man to man kuteka maeneo Ukraine.
Principles za vita, kama hujui, hazijawahi kubadilika!
Mbinu zenu hizo za zama za kale za mawe🤣🤣🤣 hakuna anayewajali kwa sasa. Wenzenu wanafanya kweli nyie mmebaki na PROPAGANDA na stori za kusadikika😆😆😆
 
Tutapigwa na nani we bwege?
 
Wawe ni mweupe sana.Mambo na mada za saizi yako ni vijiwe vya kahawa na tangawizi.

Mtu usiyejua lengo la TRENI YA SGR unataka tudiscuss mambo makubwa ya kimedani kama haya utayaweza kweli???

Toa a credible source ya US na UK kuhusika vita dhidi ya Uganda acha ngonjera. Mambo ya "trust me bro" ndo habari za vijiweni hizo mimi sio nyumbu kuamini kisa wewe umejisemea tu. Ungejua uhusiano wa TZ na UK wakati huo usingeandika hizi ngonjera.
 
Viongozi wa Afrika tuseme Marais wengi wa Afrika ni vibaraka wa wazungu M 23 Wanaua waafrika wenzao ni aibu sana
 
Bila Congo hiyo reli inaenda wapi? Rwanda viherehere tunaweza kupeleka reli bado wakatusumbua. Burundi uchumi mdogo. Utulivu wa congo ni muhimu sana kwetu. Congo ni muhimu kwetu kuliko sisi kwao
 
Bila Congo hiyo reli inaenda wapi? Rwanda viherehere tunaweza kupeleka reli bado wakatusumbua. Burundi uchumi mdogo. Utulivu wa congo ni muhimu sana kwetu
Waache ujinga wajenge nchi yao kuliko kupigana piganaovyo.
 
lé congo vous lovie ́musque.

Marci
 
Bila Congo hiyo reli inaenda wapi? Rwanda viherehere tunaweza kupeleka reli bado wakatusumbua. Burundi uchumi mdogo. Utulivu wa congo ni muhimu sana kwetu. Congo ni muhimu kwetu kuliko sisi kwao

Congo isingekuwepo SGR isingejengwa?

Congo wakianza kutumia Lobito corridor mtaacha ujenzi wa SGR nchini?

Soko la ndani halihitaji SGR? Mazao, watu toka Shinyanga, Kigoma hawastahili SGR?

Mnajua SGR ni upana na ubora wa reli tu hata intra-city trains zinaweza jengwa kwa standad ya SGR?
 
..halafu hawajiulizi Mama Abduli na Tshisekedi wana tofauti gani?

..Mama Abduli angepewa DRC aongoze angepamudu?

..tunawacheka Wacongo, lakini huu UCHAWA unaolelewa Tanzania tunaishi kuwa kama Wacongo.
 
..halafu hawajiulizi Mama Abduli na Tshisekedi wana tofauti gani?

..Mama Abduli angepewa DRC aongoze angepamudu?

..tunawacheka Wacongo, lakini huu UCHAWA unaolelewa Tanzania tunaishi kuwa kama Wacongo.
Waache wanaona urefu wa pua zao.Na mwenye macho haambiwi tazama.l!!!
 
..halafu hawajiulizi Mama Abduli na Tshisekedi wana tofauti gani?

..Mama Abduli angepewa DRC aongoze angepamudu?

..tunawacheka Wacongo, lakini huu UCHAWA unaolelewa Tanzania tunaishi kuwa kama Wacongo.

Congo imeanza kuharibika wakati wa Tshisekedi? Lini Congo ilitulia?

Mleta uzi kasema vizuri Congo ni kubwa jinga haijawahi tulia toka uhuru. Itasaidiwa hadi lini? Congo ijenge uwezo wake wa kujilinda na kujiendesha kama haiwezi watu tugawane maeneo.
 
Hapakuwahi kuwa na hilo wazi, sababu wote hao ni wapenda madaraka
 
Ilianza na wazo la East African Community, Organisation of African Unity .....etc
Siyo kuunganisha nchi na kuwa taifa moja,watu walipinga united States of africa Ili walinde madaraka yao,maana wasingekua marais
 
Congo imeanza kuharibika wakati wa Tshisekedi? Lini Congo ilitulia?

Mleta uzi kasema vizuri Congo ni kubwa jinga haijawahi tulia toka uhuru. Itasaidiwa hadi lini? Congo ijenge uwezo wake wa kujilinda na kujiendesha kama haiwezi watu tugawane maeneo.

..Zaire haikuwa na machafuko na mauaji kama sasa hivi.

..sisemi kwamba kulikuwa hakuna matatizo. Ninachosema ni kwamba matatizo yao hayakuwa makubwa kama yalivyo sasa hivi.

..Vita ambayo Wacongo wamepelekewa na Rwanda na Uganda imesababisha vifo vya Wacongomani milioni 6 au zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…