Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Imgekua enzi za Malaika asingethubutu !!!
 
Tumbo na uchu wa madara ni kitu kibaya sana.. Bado mama Gwajima na mime wake.
 
Kamanda kaweka silaha chini kaamua kusurrender hahahaha
Jafo ana saliti kambi hata Mzee hajazikwa kweli huu ni usaliti
Wanafiki watajitokeza tu.wasupport ujinga mpaka maafa yametokea wanassepa mi simo!
 
Kikulacho.
 
Mzee wa nyungu kabadilishia gia hewani fasta!
Hii ni strategy nzuri sana next move ni kusisitiza mask na nyungu basi tutashinda huku tukimtanguliza Mungu mbele.
 
Wakati wa kutafuta umwamba wa kutovaa barakoa mnakuwa wengi, lakini sandukuni unaingizwa pekee yako. Usikubali kufanya jamboblinalohusu maisha yako kwa kuwafurahisha watu wengine.

Hongera Jafo. Kosa siyo kutenda kosa bali ni kuendelea kufanya kosa hata baada ya kutambua kuwa ulikuwa umetenda kosa.
 
Hakika n hatua ya kuigwa kutoka kwene nyungu hadi balakoa
Mungu ibariki Tanzania
 
Ali Baba kafariki wezi wake arobaini wanasambaratika
 
Na huyu rais wa makalvert ya 2015 vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…