Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Scars,
DINI ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, imeumbua dini nyinginna ndio maana kua dini moja kubwa wakaamua kufunga misa zao, wakafuata wale wa MECCA sasa WOKOVU ambao uliletwa na YESU ndio umebaki na ndio mpango wa Mungu kuwakomboa wanadamu na dhaambi zao, hawa watu wa wokovu wanadamu
 
Na tatizo la watanzania mnapenda sana KUONGOPEWA KULIKO UKWELI.
viongozi wa dini NI watu kama sisi. Hawana mamlaka yoyote au nguvu zozote za kuzuia au kuponesha magonjwa.
Ila leo akitokea kiongozi wa dini anasema anatibu corona.
MTAKIMBILIA HUKO.
sababu mnapenda kudanganywa.
NA WAO WANAJUA. Scars,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
laiti kweli wangekua wanaroho mtakatifu anaewapa maono, nadhani wangekua msaada mkubwa sana yanapokuja majanga kama haya maana wangeomba kuoneshwa dawa watu wakapona bt na wao wamejawa na hofu na wanawasubiri madaktari kama waamuz wa hili na si mungu anaewapa maono
 
Kumekuwa na mbwembwe nyingi za wachungaji, mitume na manabii kukitokea matatizo yoyote katika jamii wakijinasibu kuyamaliza kwa uwezo waliopewa.

Mara nyingi wao hutunga vitu na kusisitiza wameoneshwa na Mungu na kutamka kuviondoa. Wakijinasibu wakati mwingine hata kusema wanawaponya watu walioathirika na virusi vya UKIMWI.

Naomba niseme kati ya watu wamekuwa wasanii ni hao manabii pamoja na waumini wao wasio na uelewa ambao huacha kufanya kazi na kuwaita baba zao.

Sasa nasema Corona hii hapa, iondosheni Tanzania. Au yatatueni machangamoto ya ndoa zenu huko nyumbani kwenu. Jihadharini na kudanganya watu kujifanya mnaponya kumbe mnatumia wasanii.

Nachukia wanaoigiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna nabii mkuu. hii corona ni real wakati wao ni fake
ni sawa na mafuta na maji havichangamani
 
nawachukia sana hawa wapumbavu mkuu, yaani wanazitumia changamoto za ulimwengu huu kujipatia kipato kwa njia nyepesi kweli....

haya wamuombe mungu awape maono yakutibu corona sasa kama kweli wanayotuaminishaga yanaukweli
 
Wakati wa janga la njaa miaka mitatu na nusu watu walipokula mavi ya njiwa vipi hapakuwa na nabii au wakati Israel wametekwa kwenda Babeli hapakuwa na nabii?
 
Baba Swalehe,
Wakati wewe unataka kujua Mungu yupi ni wa wakweli kuna wengine wanataka kujua kama huyo Mungu kweli yupo?

Wewe unaweza kujibu hilo swali kuwa kweli Mungu yupo?
 
Kwani dini imemzuia muafrika asifanye maendeleo? Mbona haya malalamiko tunayo sisi tu waafrika na wakati hizi dini zimeenea sehemu nyingi tu duniani lakini hatuoni wakilalamika hivi?
 
Scars,
Kwa maana nyengine ni kwamba kumbe tunaweza kuaminishwa jambo la kisayansi na kumbe jambo hilo lisiwe kweli.

Kwenye sayansi tunaambiwa kunafanyika tafiti na sio imani,ila mbona kuna utata wengine wanasema kuna virusi vya ukimwi na wengine wanasema hakuna virusi vya ukimwi? Na wote ni wanasayansi wenye kutofautiana hivyo na wana ushahidi wao wa kisayansi.
 
Mambo ya imani ni magumu.

Usitegemee mara zote uombe na Mungu akujibu on the sport.

Hata Mfalme Daudi kuna wakati alikosea Mungu akawapiga tauni ya siku tatu taifa lilikaribia kuisha.

Hata wana wa Israeli walikuwa wakimkosea Mungu anawapiga au na vita au na maradhi hadi watubu.

Hao watumishi wa leo nao ni watu kama wewe wengi wao wana makandokando kibao. Mungu anawatazama kwanza watubu warejee kwake.

Hata hivyo tuamini tu kuwa wapo wachache wanaoomba na Mungu anasikia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunao Amin timesha fundishwa before kua itafika wakat. Mtafanyiwa maajabu ambayo yatataka kuamin hamna mungu pia watafufuliwa watu walio kufa utaoneshwa ndugu zako walio kufa nyuma pia maisha yatakua magum na tutaulizwa unataka tukusaidie mkane MUNGU wako Kama hutaki bas angamia na mungu pia alituasa kua Makin na Zama hiz Kwan yeyote atae mkana muda huu basi

amelaaniwa.situation iliopo Sasa ivi Sina Shaka ndio nyakat zile za wanadam kufanya kitu na kutoa point kua wao wamefanya mbona MUNGU wetu hajafanya, soon wataanza kufufua WATU Kwan wamebakiza inshu moja tu how to restore ubongo Kwan moyo tayar pia wazungu wamesha Anza kutoa shuhuda kwamba baada ya muda kadhaa tutaweza kuongea na ndugu zetu ambayo tayar wamesha kufa
Ukitaka kuyaona haya fatilia kuja kwa masih dajal hiz hoja ni kwa Iman ya kiislam tu sijui wakristo Wana hoja Gani.

Ndugu zetu kwa upande wa Iman Ila niwashaur tu endelea kumuamin MUNGU wako
Pia Kaka nikujibu tu ni kwamba wazungu wamewafanya wajinga wengi kuamin kwamba ukitambua hakuna mungu Basi wewe unaakili umejitambua ndiomana wengi wanao jiita majinias hawajambui MUNGU kisa tu hoja zao hazijibiw like MUNGU ametokea wapi bila kujua hili ni swal la kijinga ok tuseme hamna MUNGU

bas na wao watujibu ulimwengu umetokea wap watakwambia ni big bang Yes tunaweza kukubal ni big hang but materio yalitoka wap Kama sisi tumeweza kutokea From no where kwann MUNGU ashindwe pia wanasanyan hawatak kuamin MUNGU yupo SABABU hawana ushaid Wala majibu ilo ndio kosa hawajui vitu vinamipaka yake

MUNGU katuumba ili tuje tumtukuze katika mazingira magum na mazuri Tena niwakumbushe waumin wenzangu ya kua huu ndio muda mzuri wa kumuabudu MUNGU wako sababu MUNGU anapenda kunyenyekewa kwa nyakat zozote zile Sasa Kaz ni kwako kukufuru au kuendelea kufanya ibada Kwan hii ni mitihan tu na tunatakiwa kuifaulu mungu awabariki. Scars,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimesikia Mch.mmoja akisisitiza watu watoto wasitoke nje kwa kutumia mfano wa Wanaisrael walivoelekezwa wasitoke nje huko Misri.

Hahaha kila hali wanayopitia watu wa dini hutafuta tumaini kwenye vitabu vyao ili kujiridhisha

Sasa hao waisrael wana relate vipi na hii corona?

It's Scars
 
Kama huna din ni bora ukae kimya tambua kuna watu nigeria wameombewa na wamepona kama huna imani kufanikiwa ni shughuri,wewe huna din so kaa kimya
Namna pekee ya kumfanya jamaa akae kimya we jaribu kumthibitishia mungu yupo

It's Scars
 
Kwanza hayo maandishi ya biblia unahakika gani kwamba yamezungumza ukweli?

It's Scars
 
Mswali mepesi sana. Sijakna hoja inayohitaji majibu ya kufikirisha kwa sababu vyote ulivyondika ni lugha za kawaida za wapofu wa imani. Jifunze kwanza imani ni nini na inatendaje kazi ndipo uje na hoja za kueleweka. Pole sana mkuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…