Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kuumbwa ni nini?

It's Scars
Kuumbwa ni Begining ya kitu fulani without sample
Yaani kuanzishwa kwa kitu fulani, au kiumbe bila ya kuigiza kutoka popote.
na kazi hiyo kaifanya MUngu tu?
 
Hujajibu awali

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?



It's Scars
 
Biblia iko wazi wafanyao hayo ni pando la ibilisi, na adhabu yao ipo. Kwahiyo kuwepo kwa mwizi, hakupotezi uwepo wa Mungu.
Unajuaje kua imesema ukweli?

It's Scars
 
Matatizo gani?

Matatizo ya akili ambayo umekiri kua wataalamu wamethibitisha au matatizo ya kufikirika (mapepo)?

It's Scars
Hayo hayo matatizo ya akili kama wasemavyo wataalamu,unakubali kweli yapo?
 
Mimi natarajia wewe unatumia akili yako vizuri, au kuna mahali umesoma mawazo ya mtu mwengine aliye kuteka fikara zako?
 

We umejuaje kua upande wa allah anajua vile ulivyo andika wewe?



It's Scars
 
Aisee!

Una umri gani?
 
Bara bara
Kumbe unajuwa kuwa Udhaifu ni wa Kiumbe , na Ukamilifu ni MUumba sio?
Na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi.kuimba kiumbe dhaifu

Kwaiyo udhaifu wa watu unaonesha mungu hayupo

It's Scars
 
Haya maelezo ndio umenijibu mimi au? Maana sioni uhusiano wowote ulichokijibu na nilichouliza. Au niendelee kusubiri jibu bado maana hayo maelezo yametolewa bila mtu yeyote kuwa quoted.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi.kuimba kiumbe dhaifu

Kwaiyo udhaifu wa watu unaonesha mungu hayupo

It's Scars
Wapi huyo Mungu kasema kuwa ameumba kiumbe mkamilifu asiyekuwa na udhaifu ?

Ama unamsemea wewe kuwa hawezi kuumba kiumbe dhaifu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali halijauliza neno "athari" kwa kingereza linaitwaje

Umeona vyenyewe sikosei kukuita mjinga?

Kijana hapa lazima utoke damu,kwanza sijavunja misingi ya utoaji maana ya tamko husika. Hili weka akilini. Pili, nimefanya hivyo ili uelewe kwa wepesi, lakini kama hukielewa mfano huo mwepesi,utaona ya kuwa ni kwa namna gani ulivyo zwa zwa na hii ni haki yako.

Lakini, haikutosha nikakupa na mfano.
Ukiulizwa swali maana yake muulizaje hajui jibu la hilo swali??

Kwa mara nyingine nakuita mjinga

Hiyo huitwa kawaida na kawaida inahukumu kijana, elimu ya lugha tamu sana kwani inakupa uwanja mzuri sana wa kutoa maana na kucheza na maneno. Tunasema kawaida anae uliza huwa hajui, kujua kwake hulzingatiwa na hali, na wewe umedhihirisha hujui kwa kule kuhoji kwako baada ya kuuliza maana ya tamko "Athari".

Nacheka sana, japokuwa nimekupa maana ya athari ila nina uhakika nikikuuliza tena utakosea kutoa maana, hiyo, kisha ujiweke hapo ambapo sio kila anae uliza basi hajui.

Kijana hatulei ujinga na hili unalijua.
Umeulizwa kuhusu maana ya athari hujaambiwa utoe mfano kuhusu athari. Ulitakiwa utoe mfano baada ya kutoa maana ili kukazia hoja yako

Round hii nakuita mpumbavu

Halafu bado unataka kujadiliana na mimi, mti ambae hujui hata maana ya maana. Nakufundisha sasa, kuna njia takribani nne za kutoa maana ya jambo fulani,kauli au hali au kitendo fulani,na kutoa mfano ni katika njia ua kutoa maana.

Kwahiyo hap nimetoa maana ya tamko athari kwa mfano, na hii inakubalika na ni usahihi.

Kijana usijaribu kuruka wakati huna mbawa.

Naendelea......
 
Ukisoma paragraph yangu ya mwisho utajua

It's Scars
Kwani wewe ni msemaji wa Mungu ?

Wapi Mungu kajisifu kwa kusema kuwa kaumba kiumbe aliyekamilika?

Kama kuna sehemu kasema hivyo maana yake itatusaidia kujua ya kuwa viumbe hivyo havipo,pengine kma havipo unaweza kuwa sahihi ukiweka hoja ya kuwa hata yeye hatokuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani tunaenda mbele na kurudi nyuma.

Yani unataka uone mwanasayansi aache sayansi na kuomba dua ili ndio ukubali ni mwanadini ila hutaki mkulima,mfanyabiashara,mfanyakazi waache shughuli zao na kuomba dua tu ili ukubali kuwa ni wanadini!!!!
 
Kama hakuumbwa allipatikanaje?
Ni nani awezaye kuumba ngalau kidole kikikatika,ili kiwe spare?
Hata hilo hujui?
Mwambie ajiongeze kima chake hata centrimeter moja kupitia hiyo sayansi, Kila kitu kina mipaka yake ndo kitu jamaa hajui,

Anasahau hata hao Wana science Wana maswali kibao hawana majibu nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…