battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Kuumbwa ni Begining ya kitu fulani without sample
Yaani kuanzishwa kwa kitu fulani, au kiumbe bila ya kuigiza kutoka popote.
na kazi hiyo kaifanya MUngu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuumbwa ni Begining ya kitu fulani without sample
Hujajibu awaliUsipate shida Qur'an yenyewe inakupa challenge...
Qur'an 2:
![]()
23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 23
![]()
24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. 24
Haya tunasubiri utimize hiyo "challenge". Miaka zaidi ya 1400 imetolewa , mpaka.leo hajatokea hata mmoja aliyeweza, jaribu bahati yako tena washirikishe na makafiri wenzako wote.
Hahaha unaongelea "spider"? Kuna sura nzima ndani ya Qur'an inabeba jina Hilo, imeshushwa zaidi ya miaka 1400 nyuma. Kwi kwi kwi teh teh teh, wewe ndio leo unamjuwa? Ulilala usingizi mzito sana.
Nacheka sana, kushindwa hoja kuzuri sana, yaani hata kuelezea jambo unashindwa.
Post namba 13 inaelezea upande wa Allah, post ile ya 120 inaelezea hasa upande wetu.
Haya mambo yanahitaji elimu na utulivu wa hali ya juu. Ndio maana nilipo rudi jana au juzi nikawa najiuliza hii mada mbona ishaisha inakuwaje inakimbia mpaka leo hii, nilipoingia naona unadai hujajibiwa.
Nakupa miala kumi uonyeshe hukumu ninayo jihukumu katika post namba 13 dhidi ya zile nyingine. Ukiweza kuonyesha hilo naacha kutumia hii "Id" nilikwambia hili na nakariri tena na tena.
Ahsante.
Aisee!Shabaha ya hiyo hoja umeielewa kweli?
Hilo ni swali ambalo nimekuuliza kwa lengo la kuku-challenge katika kile ambacho unakisimamia.
Swala la spiderman lingekua linaishia kwenye movie tu basi hapa lisingeweza kujadilika.
Habari za yesu/mungu zipo katika movies lakini zinajadilika katika mazingira yeyote ambayo watu wataamua kujadili.
Kama movies huelezea kile kisicho halisia na habari zake huishia kwenye movies tu. Unataka kusema hata habari za mungu nazo si halisia kwasababu kuna movies ambazo zimezungumzia habari za mungu??
Kama habari za mungu zitakua ni halisia hata kama zimejadiliwa kwenye movies, basi hata spiderman vile vile ni halisia.
Kama mungu yupo kihalisia kama wewe unavyodai kwanini mpaka leo uwepo wake uwe ni jambo lenye utata kiasi kwamba mpaka leo liwe linajadiliwa bila kufikia hitimisho??
Unajuaje kwamba spiderman amebuniwa kwenye movies?
na kwanini movies zinazoelezea habari za mungu zisithibitishe mungu amebuniwa na hao waliotengeneza movie??
It's Scars
Haya maelezo ndio umenijibu mimi au? Maana sioni uhusiano wowote ulichokijibu na nilichouliza. Au niendelee kusubiri jibu bado maana hayo maelezo yametolewa bila mtu yeyote kuwa quoted.Elewa basi
Mungu ana hali mbili kwa viumbe.
Akitaka anawafanyia mambo kimiujiza kwa Dua tuu ,jambo ambalo ni nadra sana.
Na hali ya pili Ni kuunga mkono juhudi zao kwa kuwapa maarifa chanya kutafuta suluhisho ,baada ya kujihangaisha na kutumia akili.
Njia hii ya Pili ndio hasa halisi kwa maisha ya Duniani.
Wanaotarajia mafanikio kwa maombi tuu ,hawaja mfahamu Mungu mpango wake.
Wapi huyo Mungu kasema kuwa ameumba kiumbe mkamilifu asiyekuwa na udhaifu ?Na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi.kuimba kiumbe dhaifu
Kwaiyo udhaifu wa watu unaonesha mungu hayupo
It's Scars
Swali halijauliza neno "athari" kwa kingereza linaitwaje
Umeona vyenyewe sikosei kukuita mjinga?
Ukiulizwa swali maana yake muulizaje hajui jibu la hilo swali??
Kwa mara nyingine nakuita mjinga
Umeulizwa kuhusu maana ya athari hujaambiwa utoe mfano kuhusu athari. Ulitakiwa utoe mfano baada ya kutoa maana ili kukazia hoja yako
Round hii nakuita mpumbavu
Ukisoma paragraph yangu ya mwisho utajuaWapi huyo Mungu kasema kuwa ameumba kiumbe mkamilifu asiyekuwa na udhaifu ?
Ama unamsemea wewe kuwa hawezi kuumba kiumbe dhaifu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni msemaji wa Mungu ?
Yani tunaenda mbele na kurudi nyuma.Unatatizo katika kuelewa
Mtu anaweza kujua kua mungu hayupo na dini ni wizi tu lakini bado akawa muumini katika dini kwa kuogopa jamii itamchukulia vibaya.
Bila dini ni ngumu kuoa/kuolewa kwasababu jamii iko katika zama za ujinga kuamini kua ndoa inafungwa kwa viapo vya dini mbele za mungu. Kwaiyo mtu anaamua kua na dini lakini akielewa kabisa kua worshiping god is bullshit
Hii ni kwasababu ukitaka kuishi na mjinga jifanye nawe mjinga ili alidhike lakini hiyo haimaanishi kua wewe ni mjinga
Na ndio maana hao wanasayansi ambao wanadini wamekua wakitafuta suluhu kupitia maabara za kisayansi na sio kusugua magoti madhabahuni kwa kuomba mungu, kwasababu walishajua kua habari za mungu ni changa la macho
Mbona hao watu nimewataja sana huko mwanzo kua wameathirika na ujinga?
Tangu wameanza kufanya maombi wamepewa dawa gani kutoka kwa mungu ambayo itawaponya wagonjwa wenye corona??
Hao wanaosali kuomba muujiza kwa mungu awape dawa, asilimia kubwa milangoni kwenye majumba yao ya ibada kuna maji ya kunawa kwa ajili ya kuepuka virusi vya corona, unafikiri kwanini wahangaike kuchukua tahadhari wakati wakiomba wanajibiwa?
Ukimwi unazaidi ya miaka 30, niambie maombi yao miaka yote hiyo yamesaidia nini katika process za kuutokomeza?
It's Scars
Watu wanatofautiana kimtazamo, kihela, kimo, rangi, watakuaje sawaMtu asiyeamini mungu hayupo na mtu anayeamini mungu yupo, kunautofauti wowote hapo?
Jifunze kuhoji kwanza
It's Scars
Mwambie ajiongeze kima chake hata centrimeter moja kupitia hiyo sayansi, Kila kitu kina mipaka yake ndo kitu jamaa hajui,Kama hakuumbwa allipatikanaje?
Ni nani awezaye kuumba ngalau kidole kikikatika,ili kiwe spare?
Hata hilo hujui?