Corona imekuja kuumbua uongo wa dini


Wapi nimesema mimi ni msemaji wa mungu?

Halafu leo hii unataka kupinga kua vitabu vyenu havijasema kua binadamu mnamapungufu?



It's Scars
 
Yani tunaenda mbele na kurudi nyuma.

Yani unataka uone mwanasayansi aache sayansi na kuomba dua ili ndio ukubali ni mwanadini ila hutaki mkulima,mfanyabiashara,mfanyakazi waache shughuli zao na kuomba dua tu ili ukubali kuwa ni wanadini!!!!
Tatizo lako moja humakiniki

Hapo kwenye neno "mwanasayansi" unaweza kuweka jina lolote iwe mkulima au nani na bado ukawa kwenye duara lile lile ambalo nimelichora

It's Scars
 
Hayo maelezo hayajajibu swali hili

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?

It's Scars
 

Ulianza kwa mbwembwe halafu umemaliza kinyonge

Unahakika gani na imani yako kua ninsahihi na sio kwamba ni potofu?

It's Scars
 

Ufunuo ni nini?

It's Scars
 

Sina imani, na sihoji kutaka majibu katika misingi ya imani



It's Scars
 

Uhalisia wa baba kua mkubwa kwa mwanae unathibitishaje mungu yupo?

Uhalisia wa baba kua mkubwa kuzidi mwanae unathibitishaje kuran ni kitabu cha kweli?

Nithibitishe allah hayupo kwani sijakuthibitishia?

It's Scars
 
Safi kabisa, nyie ndio huwa mnakausha bahari kwa ulimi.

Elezea ulimwengu ya kuwa hauna chanzo kisha ulete mantiki, ukiweza naacha kutumia hii "Id".

Nishaeleza kabisa kua hauna chanzo

Haya acha kutumia hiyo id

It's Scars
 

Watu wanakufa kwasababu ya seli za binadamu zinachoka kwa kukabiliana na mabadiliko ya kimazingira ikiwemo magonjwa nk.

Thibitisha binadamu wameumbwa

It's Scars
 
Hawakutumia hiyo sababu maisha yanaendelea na hilo majibu yake hutokana na ufunuo.

Nimemaliza.
Hujajibu swali

Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?

It's Scars
 
Yeye ndio ameuleta huu ugonjwa na yeye ndio atakae uondoa.

Ama kuhusu watu kutokwenda hijja, hii pia ni katika maagizo yake, kwahiyo vyote vinatoka kwake.
Hapa tena umekubali

Sasa rudi kule mwanzo kajibu maswali yangu ambayo uliyakimbia

It's Scars
 
Uhalisia wa baba kua mkubwa kwa mwanae unathibitishaje mungu yupo?

Uhalisia wa baba kua mkubwa kuzidi mwanae unathibitishaje kuran ni kitabu cha kweli?
Sababu yeye ndio ameweka utaratibu huu.
Nithibitishe allah hayupo kwani sijakuthibitishia?

Umethibitisha wapi hili ? Ukiweza naacha kutumia hii "Id"
 
Watu wanakufa kwasababu ya seli za binadamu zinachoka kwa kukabiliana na mabadiliko ya kimazingira ikiwemo magonjwa nk.
Unajuaje kama seli za binadamu zinaelekea kufa au kwa kipi ?

Seli hizo huchukua muda gani mpaka zina choka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…