Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #801
Kwani wewe ni msemaji wa Mungu ?
Wapi Mungu kajisifu kwa kusema kuwa kaumba kiumbe aliyekamilika?
Kama kuna sehemu kasema hivyo maana yake itatusaidia kujua ya kuwa viumbe hivyo havipo,pengine kma havipo unaweza kuwa sahihi ukiweka hoja ya kuwa hata yeye hatokuwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema mimi ni msemaji wa mungu?
Halafu leo hii unataka kupinga kua vitabu vyenu havijasema kua binadamu mnamapungufu?
It's Scars