Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kwani wewe ni msemaji wa Mungu ?

Wapi Mungu kajisifu kwa kusema kuwa kaumba kiumbe aliyekamilika?

Kama kuna sehemu kasema hivyo maana yake itatusaidia kujua ya kuwa viumbe hivyo havipo,pengine kma havipo unaweza kuwa sahihi ukiweka hoja ya kuwa hata yeye hatokuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapi nimesema mimi ni msemaji wa mungu?

Halafu leo hii unataka kupinga kua vitabu vyenu havijasema kua binadamu mnamapungufu?



It's Scars
 
Yani tunaenda mbele na kurudi nyuma.

Yani unataka uone mwanasayansi aache sayansi na kuomba dua ili ndio ukubali ni mwanadini ila hutaki mkulima,mfanyabiashara,mfanyakazi waache shughuli zao na kuomba dua tu ili ukubali kuwa ni wanadini!!!!
Tatizo lako moja humakiniki

Hapo kwenye neno "mwanasayansi" unaweza kuweka jina lolote iwe mkulima au nani na bado ukawa kwenye duara lile lile ambalo nimelichora

It's Scars
 
Challenge imekuwa nzito kwako? Kitu ambacho unasema si kweli kinakushinda? Soma...

Usipate shida Qur'an yenyewe inakupa jibu...

Qur'an 2:


2_23.gif


23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 23


2_24.gif

24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. 24




Haya tunasubiri utimize hiyo "challenge". Miaka zaidi ya 1400 imetolewa , mpaka.leo hajatokea hata mmoja aliyeweza, jaribu bahati yako tRNA washirikishe na makafiri wenzako wote.


Hahaha unaongelea "spider"? Kuna sura nzima ndani ya Qur'an inabeba jina Hilo, imeshushwa zaidi ya miaka 1400 nyuma. Kwi kwi kwi teh teh teh, wewe ndio leo unamjuwa? Ulilala usingizi mzito sana.
Hayo maelezo hayajajibu swali hili

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?

It's Scars
 
Mr Makovu, mm ninayo Imani yangu, ambayo ni tofauti na Imani yako.


Maswali yako , toka mwanzo sikutaka kuingiza Imani yangu katika kujibu swali lako la Kwanza kwangu.

Kwa imani yangu kuhusisha vitabu ninavyoviamini kwenye mjadala maana yake nimefunga mjadala.

Ndo maana nataka nijibu swali lako kupitia Mambo unayoyaona kwa macho ya kibinaadam , lkn naona uwepo wa ROHO MTAKATIFU unakufanya uweweseke , nakushauri tulia utapata jibu.

Ulianza kwa mbwembwe halafu umemaliza kinyonge

Unahakika gani na imani yako kua ninsahihi na sio kwamba ni potofu?

It's Scars
 
Ithibati hii tumeshaifanya kitambo sana na tunaendelea kuifanya klikibidi. Ajabu ipo kwenu ambao mnadai Mola hayupo kwa kutumia kauli yenye kujipinga kwa yenyewe kulingana na hitimisho lenu.

Hili kosa lingine katika kuelewa au kunukuu, nimesema akili haina uwezo wa kujua jema na baya kwa dhati yake na kwanini, sijasema "akili haiwezi kujua jema na baya". Makinika hapa kwanza.

Akili ina ukomo, akili haina uwezo wa kukwambia baada ya mtu kufa kinatokea nini au roho inapo toka inaenda wapi ? Akili haina uwezo wa kukwambia mwisho wa dunia utakuwaje au ukoje kwahiyo inapoishia akili ndipo ufunuo unakuja kujibu maswali ambayo akili imekomea,ndio maana wakaja mitume na manabii,sio mitume hawa na manabii hawa wapiga pesa na mfano hao, sababu utume na unabii ushakoma.

Safi kabisa embu tuonyeshe wapi amesema hayo huyo, maana vitabu vipo na tunavisoma kila siku.

Naendelea ....

Ufunuo ni nini?

It's Scars
 
Kwani wewe kwa imani yako ,ili Mumgu awepo unataka iwe vipi, yaani afanye nini?
Kwa kuwa mimi nimekuthibitishia kuwa mvua, kuota kwa mbegu, .imba kuwa mke au mume, umri wa mtu kuwa mrefu au mfupi ,tofauti ya rangi zetu,lugha na sura zetu,kila binadamu yuko uniqe, uumbaji huu nsio wa Mungu, kwa hiyo yupo na huleta tetemeko, mafuriko, upepo nk. Pasi na mapenzi ya binadamu na hakuna wa kuzuia hilo.
Huyo ndo Mungu akikasirika ma maovu yetu.
Pia hituneemesha kwa vyakula,mbalibali ma matunda,wanyama na ndege kuwa chakula xha binadamu buree bila ya kulipia.
. kubwa zaidi ni hewa ya Oxigen pasina malipo.
Huumdio uthibitishp wangu wa awali wa kuwwpo Mungu Mkuu Mwenye Enzi ,Anayestahiki kusifiwa ma kusujudiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sina imani, na sihoji kutaka majibu katika misingi ya imani



It's Scars
 
Uhalisia upo na kuukataa uhalisia kupo, na ndio maana wewe unaukataa sio kwamba haupo kijana, upo na tunauona na tuna ujengea hoja pia.

Unawezaje kuthibitisha ya kuwa mtoto ni mdogo kuliko baba yake ? Au jua liko juu yako au nusu ni nusu ya kitu kizima ?Huu ni miongoni mwa uhalisia ambao tunauzungumzia na vyote vinatoka kwake. Sasa hapa unataka uthibitisho gani ?

Nimekuonyesha ya kuwa hata maana ya "Kuthibitisha" bado huijui.


Safi kabisa ili yathibitishe kwamba Allah hayupo, jaribu kuyajibu tu hata kwa ishara uone shughuli yake.

Nacheka sana, nakukumbusha tu, haya maswali sio leo mara ya kwanza kukuuliza niliwahi kukuuliza na ukayakimbia na hakuna anae weza kuyajibu maswali haya.

Kwa ufupi na kwa kukusaidia ni kuwa "Ukijibu haya maswali (Japokuwa huwezi) kunathibitisha uwepo wa Allah na kutokujibu maswali haya kunathibitisha uwepo wa Allah".

Naendelea .....

Uhalisia wa baba kua mkubwa kwa mwanae unathibitishaje mungu yupo?

Uhalisia wa baba kua mkubwa kuzidi mwanae unathibitishaje kuran ni kitabu cha kweli?

Nithibitishe allah hayupo kwani sijakuthibitishia?

It's Scars
 
Safi kabisa, nyie ndio huwa mnakausha bahari kwa ulimi.

Elezea ulimwengu ya kuwa hauna chanzo kisha ulete mantiki, ukiweza naacha kutumia hii "Id".

Nishaeleza kabisa kua hauna chanzo

Haya acha kutumia hiyo id

It's Scars
 
Safi kabisa, elezea kisha ujibu maswali nitakayo kuuliza.


Binadamu wameumbwa kuwa huru kijana, ndio maana wewe leo hii huna hoja lakini unamkataa Mola na unasema hayupo. Haya ni matamanio yako ya nafsi na si elimu.

Yale maswali nikiyo kuuliza sasa hapa pia ni mahala pake, yajibu kijana usiogope.

Watu wanakufa kwasababu ya seli za binadamu zinachoka kwa kukabiliana na mabadiliko ya kimazingira ikiwemo magonjwa nk.

Thibitisha binadamu wameumbwa

It's Scars
 
Hawakutumia hiyo sababu maisha yanaendelea na hilo majibu yake hutokana na ufunuo.

Nimemaliza.
Hujajibu swali

Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ufanikiwe?

It's Scars
 
Yeye ndio ameuleta huu ugonjwa na yeye ndio atakae uondoa.

Ama kuhusu watu kutokwenda hijja, hii pia ni katika maagizo yake, kwahiyo vyote vinatoka kwake.
Hapa tena umekubali

Sasa rudi kule mwanzo kajibu maswali yangu ambayo uliyakimbia

It's Scars
 
Uhalisia wa baba kua mkubwa kwa mwanae unathibitishaje mungu yupo?

Uhalisia wa baba kua mkubwa kuzidi mwanae unathibitishaje kuran ni kitabu cha kweli?
Sababu yeye ndio ameweka utaratibu huu.
Nithibitishe allah hayupo kwani sijakuthibitishia?

Umethibitisha wapi hili ? Ukiweza naacha kutumia hii "Id"
 
Watu wanakufa kwasababu ya seli za binadamu zinachoka kwa kukabiliana na mabadiliko ya kimazingira ikiwemo magonjwa nk.
Unajuaje kama seli za binadamu zinaelekea kufa au kwa kipi ?

Seli hizo huchukua muda gani mpaka zina choka ?
 
Back
Top Bottom