[emoji23][emoji23][emoji23] mi sina cha kukomenti zaidi ya hiviMtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”
Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?
Sijapatapo kuona kitabu chchote kingine kilichosema kauli hii ya Qur-an.Kitabu kikiwa na maandishi yanayosomeka kua "hiki ni kitabu kisichokua na shaka" basi kinakua kweli hakina shaka?
It's Scars
Je! Mungu alipata faida gani kwa kuwaangamiza waovu kwa gharika ya maji isipokuwa familia ya Nuhu? Je! Alipata faida gani kwa kuziangamiza Sodoma na Gomora kwa ajili ya kumkufuru isipokuwa familia ya Lutu?
Hilo swali kalikimbia mfia dini anaitwa zuriMtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”
Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?
Mungu ambaye aliweza kuona tukio la mbele kabla halijatokea, alikua na uwezo wa kuliepusha jambo baya lolote ambalo yeye hakupendezewa nalo kuona likitokeaJe! Mungu alipata faida gani kwa kuwaangamiza waovu kwa gharika ya maji isipokuwa familia ya Nuhu? Je! Alipata faida gani kwa kuziangamiza Sodoma na Gomora kwa ajili ya kumkufuru isipokuwa familia ya Lutu?
Kizazi cha watu watendao uovu hakijawahi kamwe kuikwepa ghadhabu ya Mungu, tena huangamia kwa hasara yao wenyewe. Kwa kuwa Mungu hana cha kupoteza kwa wanadamu, na tena watakatifu wake wote anawatambua na aliwateua toka wakati wa kuwekwa misingi ya ulimwengu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo wewe unakubali kuran ni kitabu cha kweli kwasababu yenyewe imesema kua ni kitabu cha kweli?Sijapatapo kuona kitabu chchote kingine kilichosema kauli hii ya Qur-an.
Labda uniletee wewe.
Hata biblia haina kauli hyo.
Na waandishi wengine wengi husema kuwa vitabu vyao havikosi makosa ,ila wao hawakuweza kuyagundua,kwa yeyote atakaye liona kosa basi asisite kumuarifu muandishi.
Laini Qur-an Hakuna kosandani yake wala 'contradictions'.
Jusomee tuu utapata elimu ya nyongeza
Mbona mimi nasoma vitabu vya mapagani, Wakiristo , Wahindu na Mabudha.
openyour mind, SPIDER MAN ITS JUST A MOVIE FICTION PENGINE MSAADA WAKE NI KUISAIDIA AKILI KUDEVELOPE SCIENCE YA KURUKA
see.Inaweza kuwa na msaada fulani,lakini ni invention ya Binadamu.
Mfano upendo bila kikomo ndiyo ukoje?Bila kikomo
Bila dhana ya ubaya kuwepo wapi?Bila dhana ya ubaya kuwepo
Mimi nataka kujua upendo wote ukoje ila wewe unahusisha masuala ya uumbaji.Katika mazingira ambayo viumbe walioumbwa na dhana ya upendo wote
Umeingiza masuala ya uumbaji.Nimejibu Post ya 1337