Umejuaje hilo ? Yaani mabaya yanathibitsha vipi kutokuwepo kwa aliye fanya yawepo ?
Kuwepo kwa mabaya kunasababishwa na nini hasa ? Maana kauli yako haina maana, sababu huwezi kuthibitisha unachokidai kwani hakijawahi kuwepo.
Angalizo usijibu hoja kama hujaelewa, bora uulize kwanza kisha ujibu, nakusaidia tu hapa.
Hapa tena umekana kua hawezi kuumba ubayaAllah hana sifa ya ubaya hili nimekujibu kitambo,wala haumbi ubaya.
Madhaifu yanaegemea kwenye ubaya ambao wewe umesema huyo allah ameuumba. Sasa sioni point ya kukimbia maswali kwa kusema kua madhaifu ni uongo ilihali umekubali kua mabaya haya yameumbwa na munguJaribu kuwa una unajibu maswali yangu, ili uepushe kukosea kosea.
Ukimaliza kuhubiri tuthibitishie mungu yupoBinadamu ni wepesi kukata tamaa kwa kuwa akili zao na maarifa ni madogo. Ndio maana ni wepesi kutokuamini Mungu kwa sabubu unataka unachoomba kitokee hapo hapo Lakini Mungu anatufahamu kabla hata hatujamuomba nia zetu,sababu zetu,fikra zetu. Wana wa israeli walikaa jangwani miaka mingi wakimuomba Mungu mpaka walipojibiwa maombi yao. Leo sisi wenye imani haba tunataka tuombe kwa siku moja tujibiwe!! Je tunayaishi yale Mungu anayotaka tuyaishi? Tukumbuke maombi hayaji bila wajibu. Tukumbuke Tunawajibu kabla maombi hayajajibiwa.
Binadamu ni wepesi kukata tamaa kwa kuwa akili zao na maarifa ni madogo. Ndio maana ni wepesi kutokuamini Mungu kwa sabubu unataka unachoomba kitokee hapo hapo Lakini Mungu anatufahamu kabla hata hatujamuomba nia zetu,sababu zetu,fikra zetu. Wana wa israeli walikaa jangwani miaka mingi wakimuomba Mungu mpaka walipojibiwa maombi yao. Leo sisi wenye imani haba tunataka tuombe kwa siku moja tujibiwe!! Je tunayaishi yale Mungu anayotaka tuyaishi? Tukumbuke maombi hayaji bila wajibu. Tukumbuke Tunawajibu kabla maombi hayajajibiwa.
Ndio maana nikatoa angalizo huko mwanzo, usihoji kabla ya kuelewa hoja na nikakwambia, uwe unajibu maswali.Post yako ya namba 1498 umekiri kua mabaya yamesababishwa na mungu
Hapa tena umekana kua hawezi kuumba ubaya
Japo sheria ni yako ila siuachi msumeno, ukijikuna tako usikate kucha kwa meno
Nimesema wapi Allah ameumba mabaya ?Madhaifu yanaegemea kwenye ubaya ambao wewe umesema huyo allah ameuumba. Sasa sioni point ya kukimbia maswali kwa kusema kua madhaifu ni uongo ilihali umekubali kua mabaya haya yameumbwa na mungu
Hapa, unazidi kukosea ushaambiwa ni muweza, wa yote kwahiyo kutokufanya kwake jambo fulani hakusemwi ameshindwa bali hajataka, hili nilikwambia, jana lakini naona, unarudia rudia jambo ulilojibiwa.Kwa uwezo wake wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya kuwepo? (Jibu lisiseme kifo ni sifa ya kiumbe maana kwa uwezo wote alionao hakuna lakumshinda)
Huko hakuitwi kushindwa,mwenye sifa ya ukamilifu ujue hana sifa ya kushindwa, ila hajataka iwe hivyo lau angetaka ingekuwa.Hata huo udhaifu ambao leo hii tunaujadiri inamaana alishindwa
Unajichanganya sana hueleweki unatetea niniNdio maana nikatoa angalizo huko mwanzo, usihoji kabla ya kuelewa hoja na nikakwambia, uwe unajibu maswali.
Maswali yangu yako wazi sana. Soma tena na sijakanusha mzee.
Kijana, ukiambiwa, hujibu, maswali hujibu, kisha unaandika ujinga, nimekwambia Allah hafanyi ubaya.Unajichanganya sana hueleweki unatetea nini
Mungu asiye na sifa ya ubaya kafanya ubaya uwepo, at the same time unakana kua hajaumba ubaya what the fvck?
Pili, onyesha nilipo jichanganya,kisha parekekebishe, ukiweza,hilo naacha kujadili huu mjadala.Unajichanganya sana hueleweki unatetea nini
Mungu asiye na sifa ya ubaya kafanya ubaya uwepo, at the same time unakana kua hajaumba ubaya what the fvck?
Unajichanganya sanaKijana, ukiambiwa, hujibu, maswali hujibu, kisha unaandika ujinga, nimekwambia Allah hafanyi ubaya.
Uliulizwa, kwakoubayani upi na yapi yanasababisha ubaya, hukujibhu. Huu ni ujinga wa kitoto sana, kuuliza maswali ambayo yana majibu naumeshajibhiwa.
Kijana, nakusaidia tena na tena kabla hujajenga hoja elewa kwanza.
Allah hafanyi ubaya kwa waja wake. Tuambie wewe sasa huo ubaya unasababishwa na nini na ni upi ubaya ? Shida yako hujibu maswali, yangekusaidia sana.
Unaposema najichanganya kisha huonyeshi hilo, wewe ndio unae jichanganya.Unajichanganya sana
Ulisema allah ameumba mabaya maana yasingekuwepo asingekuwa mwenye wezo wote.
Nikakuuliza kwaiyo mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na bado akawa muweza yote. Hujajibu
Kama uweza wa mungu unajumuisha pamoja na mabaya, je allah anaweza kujiua?
Allah kwa uwezo wake wote anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?
Akiweza kuumba jiwe hilo, hatakua muweza wa yote kwasababu kuna jiwe hawezi kulibeba
Akishindwa kuumba jiwe hilo, bado sio muweza wa yote kwasababu kuna jiwe kashindwa kuliumba.
Unaweza kujibu maswali hayo?
It's Scars