Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,601
Umejuaje hilo ? Yaani mabaya yanathibitsha vipi kutokuwepo kwa aliye fanya yawepo ?
Kuwepo kwa mabaya kunasababishwa na nini hasa ? Maana kauli yako haina maana, sababu huwezi kuthibitisha unachokidai kwani hakijawahi kuwepo.
Angalizo usijibu hoja kama hujaelewa, bora uulize kwanza kisha ujibu, nakusaidia tu hapa.
Post yako ya namba 1498 umekiri kua mabaya yamesababishwa na mungu
Hapa tena umekana kua hawezi kuumba ubayaAllah hana sifa ya ubaya hili nimekujibu kitambo,wala haumbi ubaya.
Japo sheria ni yako ila siuachi msumeno, ukijikuna tako usikate kucha kwa meno