Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mipasho sio sehemu ya huu mjadala

Back to my questions

Umedai kua Allah asingeumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya asingekua muweza wa yote. Tunaona vitabu vinasema alipo yeye ni mahala patukufu hakuna ubaya wowote unaoweza kutendeka maana ni sehemu ambayo hakuna ubaya.

unakubali kwa hoja yako hiyo allah huyo sio muweza wa yote kwasababu huko mbinguni ambako yeye anaishi hakuna ubaya wowote?

Maswali yangu ambayo huko juu hujayajibu nayarudia hapa tena

Umesema Allah ni muweza wa yote na katika uwezo huo ni mjumuisho wa kufanya mabaya, refer kauli yako kua kungekua na mazuri peke yake asingekua mungu muweza wa yote kwasababu ameshindwa kuumba mabaya

Je kupitia uwezo huo allah anaweza kujiua?

Kupitia uwezo wote alionao, Allah anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?

It's Scars

It's Scars
 
Hiyo kuran unayoitumia kama unaweza kuniambia wapi umeithibitisha kuonesha ni kitabu kilichoongea ukweli na kinapaswa kitumike kama uthibitisho wa vingine?

It's Scars
 
Suali la kipuzi,
Ikiwa Uhai, ni mali yake,Kifo ni kitu alicho kiumba na atakiuwa siku ya kiama,
Kwa Mungu hakuna Kitu mauti,mauti ni kwetu sisi viumbe tuu.
Ni sawa na wewe kusema Unaweza kula kwa Mdomo wako,
Je unaweza kuacha kula?
Sasa umeuliza nini hapa?
Hivi wewe si ulizaliwa,
Unaweza rudi tena tumboni kuishi?
Masuali ya Kijinga huuliza watu wajinga
Jibu maswali yangu ya Nature usiruke ruke
 
Hii tabia ya kudandia treni kwa mbele bila kujua target ya hoja imekua trend sana humu

Umeielewaje hiyo post?

It's Scars
 
Hiyo kuran unayoitumia kama unaweza kuniambia wapi umeithibitisha kuonesha ni kitabu kilichoongea ukweli na kinapaswa kitumike kama uthibitisho wa vingine?

It's Scars
Jibu kwanza kuhusu Nature wachana na Qur-an ambayo haina shaka ,imejithibitisha yenyewe, na hakuna kitabu kingine chchote duniani kilichojithibitisha usahihi wake
 
Hakuna swali ambalo sijajibu kijana.
 
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo, hivyo habari nzima ya maombi ni nonsense kama ilivyo maombi yaliyofanywa kwa ajili ya kudhibiti corona isiingie nchini halafu ikaingia

It's Scars
Najua unaleta ubishi ila nakuhakikishia Mungu mwenyewe atajithibitisha kwako,if u think is nonsense God will wake up ur sensation with in 3days
 
Hii tabia ya kudandia treni kwa mbele bila kujua target ya hoja imekua trend sana humu

Umeielewaje hiyo post?

It's Scars
mimi nasoma zote, ukiuliza masuali yasiyo na kichwa wala miguu ,nakusaidia kukuelewesha.
Haijalishi kasema nani.
Mpaka wewe uMjuwe Muumba wako Allah
 
Kwahiyo kusema ukweli ndio mipasho siku hizi sio, hii maana umeipata wapi mzee...?

Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
 
wewe huoni idadi tuliyo nayo bado Mungu ameinusuru AFRICA huoni hilo? umeona America,Umeona spainna italy umeona watu wanavyo kufa! unaona au huoni! punguza dhiaka!
 
Hivi haya uliyo yaandika unaweza kuniambia nimeyaandika wapi.

Kijana utakuwa mgonjwa wa akii, hii tabia unatakiwa kuiacha unaandika vitu unavitoa wapi, kwanini husomi unachoandikiwa ukakielewa ?
 
Je kupitia uwezo huo allah anaweza kujiua?

Kupitia uwezo wote alionao, Allah anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?
Ndio maana huwa unasema hujajibiwa maswali, tatizo ni lako, unaambiwa Allah hafi, wewe unasema tena hawezi kujia au unauliza swali la kujiua. Jana nilikujibu haya maswali,kijana nasubiri majibu ya maswali ya maswali yangu, acha uoga na uhuni.

Ahsante.
 
Hamna kitu humo ,tuna shindana na kichwa maji, hachelewi kusahau,
Eti jana Kaniambia Mimi kuwe Mungu ni yeye,nikamuuliza unaweza kujizuilia kufa ,au kulala,au kula,si karuka kimanga kama hakuiona ile post yangu
Huyu Ni Mtu asiye na elimu yoyote,bali anajikurupusha tu,walahajasoma, wala hajui dini hata il;e ya Biblia ,
Haoni mwangaza ,kwa kuwa Ni kipofu na ana kilema cha kuto taka kujifunza,na kwa hiyo katu hatoacha kuwa mjinga.
 
Hakuna watu wajinga kama Wakana Mungu na Wanafalsafa.

Tabia zao wanafanana, huwa hawajibu maswali zaidi ya kuruka ruka tu.
 
Jibu kwanza kuhusu Nature wachana na Qur-an ambayo haina shaka ,imejithibitisha yenyewe, na hakuna kitabu kingine chchote duniani kilichojithibitisha usahihi wake
Mjumuisho wa vitu vyote vilivyomo ndani ya ulimwengu

Haya rudi kwenye swali langu

It's Scars
 
wewe huoni idadi tuliyo nayo bado Mungu ameinusuru AFRICA huoni hilo? umeona America,Umeona spainna italy umeona watu wanavyo kufa! unaona au huoni! punguza dhiaka!
Angekufa baba yako ungejali idadi ya watu waliosalia?

Unaweza kumuacha muuaji aliyeua wazazi wako kwa kusema hana hatia kwasababu hajamuua beki tatu uliyemuajiri?

It's Scars
 
Hivi haya uliyo yaandika unaweza kuniambia nimeyaandika wapi.

Kijana utakuwa mgonjwa wa akii, hii tabia unatakiwa kuiacha unaandika vitu unavitoa wapi, kwanini husomi unachoandikiwa ukakielewa ?
Mipasho sio sehemu ya huu mjadala

Back to my questions

Umedai kua Allah asingeumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya asingekua muweza wa yote. Tunaona vitabu vinasema alipo yeye ni mahala patukufu hakuna ubaya wowote unaoweza kutendeka maana ni sehemu ambayo hakuna ubaya.

unakubali kwa hoja yako hiyo allah huyo sio muweza wa yote kwasababu huko mbinguni ambako yeye anaishi hakuna ubaya wowote?

Maswali yangu ambayo huko juu hujayajibu nayarudia hapa tena

Umesema Allah ni muweza wa yote na katika uwezo huo ni mjumuisho wa kufanya mabaya, refer kauli yako kua kungekua na mazuri peke yake asingekua mungu muweza wa yote kwasababu ameshindwa kuumba mabaya

Je kupitia uwezo huo allah anaweza kujiua?

Kupitia uwezo wote alionao, Allah anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?

It's Scars
 
Hafi inamaana hana uwezo wa kujiua?

It's Scars
 
Hata mkiunganisha stuli na meza hamtapata kitanda

Hakuna aliyethibitisha mungu yupo naona mmejiunga mshakua kundi sasa mmeanza kunisuta

Thibitisha allah yupo

It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…