lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Kama majadiliano yapo serious twende huko ,kama yapo kwenye majadiliano ya kubishana bila hoja siko huko.Naweza nikahojiana nawewe katika angle yeyote ile ambayo wewe kwako unaiona kama itakusaidia kupandikiza uzushi ulio aminishwa
Hapo nimekuonesha ni namna gani dini imekua ikikuongopea kupitia kichaka cha "roho mtakatifu"
Nawewe umeonesha niwazi kabisa umejua hilo thats why hujajisumbua kumjua baba yangu kwa njia ya kufikirika "roho mtakatifu"
Kama roho mtakatifu kashindwa kukuelekeza baba yangu alipo, unahakika gani kua huyo roho mtakatifu ataweza kukuongoza ukapata pepo ambayo umekua ukiaminishwa?
It's Scars
Sijakuuliza baba yako Nani?
Swali unaaminije huyo uliye naye kuwa ni baba yako.?
Nguvu ya Roho Mtakatifu nitakapoihitaji itakuja.